Sylvester Musa
Member
- Apr 7, 2021
- 8
- 9
Amuulize Sabaya,shauri yakeDC wa Ikungi Jerry Muro amepiga marufuku mijadala ya katiba kwa wananchi wa wilaya hiyo pamoja na kusanyiko lolote linaloashiria kuhamasisha wananchi kujadili katiba pamoja na mikutano ya hadhara.DC huyo amesema wilaya hiyo haihitaji katiba bali inahitaji huduma kama maji, shule