DC Jerry Murro apiga marufuku mijadala ya Katiba

Amuulize Sabaya,shauri yake
 
haka kajitu ni kajinga sana, kanafikiri bado kipo ndani ya utawala wa kiwendawazimu!
Mama SSH sio wa type hiyo kuwa makini wewe dc na huna sifa za uongozi ktk utawala wa haki wa mama yetu mpendwa SSH
 
Kajamaa kamechoka kazi kanataka kurudia ufuska wake nakina Gigy
 
Mchaga hopeless sana huyu mwisho wa siku aliokua akijipendekeza kwao wakamtema!!
 
Kama tungekua na Katiba nzuri, huyu mpuuzi leo hii angeendelea kuwa madarakani. Sasa ataula wa chuya
 
Naitafuta komenti Yangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…