ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Umetumwa ama ni maoni na akili yako???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jokate kumualika Bashite alifanya tu kwa kuwa ni mkuu wake, mtu alieshindwa kujinasua kwenye zero anamfanyaje mwingne aitokomeze? Na kuonesha umbumbumbu wake Bashite kufika pale akaanza kumshambulia PIERE kwa kuwa hana ajualo litakalo tokomeza zero...Halafu kuna watu wanamsifu jiwe kuwa yupo fair...kumuacha Bashite wakati anajua vyeti vyake ni ujinga tu.