Mlolongo sio mrefu.Hujamaliza simulizi, DNA wamepima wapi? Maana kwa mkemia mkuu mlolongo ni mrefu na majibu huwa yanakuwa nanapikwa na watu wa ustawi (kwa nilivyosikia).
Hujamaliza simulizi, DNA wamepima wapi? Maana kwa mkemia mkuu mlolongo ni mrefu na majibu huwa yanakuwa nanapikwa na watu wa ustawi (kwa nilivyosikia).
Yeye si ana mamlaka? Ukitaka majibu halisi ya DNA usipime hapa TZHujamaliza simulizi, DNA wamepima wapi? Maana kwa mkemia mkuu mlolongo ni mrefu na majibu huwa yanakuwa nanapikwa na watu wa ustawi (kwa nilivyosikia).
DNA inaweza kupimwa hata nje ya nchi. Zinatumwa sampuli tu. Uwezo wa nickson sidhani kama anashindwa kupima DNA hata Nairobi tu hapoHujamaliza simulizi, DNA wamepima wapi? Maana kwa mkemia mkuu mlolongo ni mrefu na majibu huwa yanakuwa nanapikwa na watu wa ustawi (kwa nilivyosikia).
Mbona hii issue ni ya miaka hiyooo
Lakini mlivyokomalia ni kana kwamba yametokea juzi.Aisee,walimwengu
Mwanangu mimi sioni shida kuwa Social father! Yaani nimewazoea watoto wangu kinoma.Ingekua ni mimi....
Mke anaondoka, mtoto anabaki then huyo anae jiita baba wa mtoto alietoka ndani ya ndoa yangu tutapambana mahakamani mazeee
SahihiDNA inaweza kupimwa hata nje ya nchi. Zinatumwa sampuli tu. Uwezo wa nickson sidhani kama anashindwa kupima DNA hata Nairobi tu hapo
Ingekua ni mimi....
Mke anaondoka, mtoto anabaki then huyo anae jiita baba wa mtoto alietoka ndani ya ndoa yangu tutapambana mahakamani mazeee