Sasahivi ni 212,000 na bahati mbaya uwezekano wa kupatiwa majibu ya kweli ni asilimia 3%.Nimeona pia mkuu ni laki mbili sio moja.
😂😂Ndio maana ilipoibuka suala la DNA bungeni mzee alishusha nondo sana kwamba kitanda hakizai haramu
kuinamana kwa pamoja, si mwanaume kuinamia mwanamke peke yakeMbona wanaume china wanawainamishia vichwa wanawake?
Hizi story za majibu yanapikwa ni story za kusadikika sasaHujamaliza simulizi, DNA wamepima wapi? Maana kwa mkemia mkuu mlolongo ni mrefu na majibu huwa yanakuwa yanapikwa(fabricated)na watu wa ustawi (kwa nilivyosikia).
Wright?? Wewe detective nenda kwa Ras Simba haraka sana.Hizi story za majibu yanapikwa ni story za kusadikika sasa
Zamani kulikuwa na hizo fununu but not true at all
Ukiwa na pesa na access you get wright answer tena haraka sana.
Tena kwa level yake ya ukuu wa wilaya ni rahis sana
Nani huyo mkuu?code ngumu....KaBody au?Sijajua kwanini imeibuka hivi karibuni wakati ina zaidi ya miaka miwili humu kwamba Nikki aka KantreWAIDI aka WUDILENDI kamwagwa na mkewe baada ya Mzee wa Tashwishwi alfu mia KENDA kumpitia kama UPEPo na Kumpiga MITI.
Yayaayay typo mkuu 😂😂😂 , mambo ya errors but thanks hahaWright?? Wewe detective nenda kwa Ras Simba haraka sana.
DNA si kigezo pekee, kesi za umiliki wa mtoto huwa ni ngumu esp kama kuna mazingira ya baba mlezi kutoa huduma kwa mtoto kwa muda mrefu huku baba mzazi akijua na akanyamaza.MahaKamani watadai DNA results tu na sio bla bla, Ukivuliwa nguo cha kwamza ni kuchutama tu, Mengine yatafata baadae.
By the way, Huyo Hakua Mke wa Nick, Alikua ni Mchumba wake tu, Kwahyo jamaa awe tu mpole.
Hiyo ni tofauti na ile ya mwanaume kumwinamia au kumpigia goti mwanamkeMara zote huwa tunapiga wote goti,ni kawaida mkuu.
Wanawake wanavyofanywa kwenye hiyo sita kwa sita aiseee.Tanda la sita kwa sita halizai haramu. Tukubali matokeo .
Nani huyo mkuu?code ngumu....KaBody au?
Kwa nini unasema jamaa alikuwa mshamba wa mapenzi?Huyu alikuwa mshamba wa MAPENZI, sema sio suala tayari kajifunza kitu.
Huyo mtoto mbona wamefanana sana na mshkaji sura hadi kichwa,macho,ni mwanae kabisa huyo! Aisee Bora angemtimua mwanamke lakini mtoto angebakianae..Na ukiona mwanaume anavaa nguo za rangi sare na mkewe, wewe jua tu ni simp huyo
View attachment 3568531
Mmmh!! Kumbe zee lile nalo ni ligoni! Wanawake ni viumbe hatari sana, tuwe na tahadhali nao aisee🚗 ɓůđï
Last time i checked ilikuwa laki 1, kwa kichwaSasahivi ni 212,000 na bahati mbaya uwezekano wa kupatiwa majibu ya kweli ni asilimia 3%.
Utajikuta tu unamsaidia mkemia kupata sample za kuja kutangaza baadae 55% ya wanaume wanalea watoto wasio wao 😁.
Aii wewe acha roho mbaya!Ni mara 100000x pesa yangu niwekeze UTT huko siyo kumsomesha mtu mzima ambaye tumekutana tu ukubwani kila mtu akiwa na vuzi zake.