DC Kibaha aachana na mkewe, kisa Matokeo ya DNA

Mwanaume mpumbavu pekee ndio ataingilia majukumu ya wazazi kumsomesha binti, ni mwanaume mpumbavu pekee anaweza kufanya hivyo.
Ni mwanaume mpumbavu tu ndiye atashupalia mambo yasiyomhusu! Mavi usiyoyala wayawingiani kuku?
 
Bali huyu binti aliibuka mwanafunzi Bora wa uhasibu ngazi ya degree na Kwa Sasa ni CPA (certified Public Accountant) .
Kama ndio kwemye ndoa kunakohitaji uaminifu wa juu kushinda vyote ameshindwa basi hata haya matokeo yake ni yamepatikana kwa ngono zembe na wahadhiri
 
Hizi story za majibu yanapikwa ni story za kusadikika sasa
Zamani kulikuwa na hizo fununu but not true at all
Ukiwa na pesa na access you get wright answer tena haraka sana.
Tena kwa level yake ya ukuu wa wilaya ni rahis sana
Ujue Sisi ustawi wa jamii hatupendi watoto wakose malezi ya wazazi hivyo ujue kabisa ukijileta kupima DNA mtoto atakuwa wako tu!
 
Kama ndio kwemye ndoa kunakohitaji uaminifu wa juu kushinda vyote ameshindwa basi hata haya matokeo yake ni yamepatikana kwa ngono zembe na wahadhiri
Hii ni sawa na kusema makende na ubongo ni kitu kimoja, but what do you expect from makende ya CCM kama wewe
 
Kumbaff. Sasa hapa DNA inaingiaje? Mambo ya Ngoswe muachia Ngoswe mwenyewe.
 
Hujamaliza simulizi, DNA wamepima wapi? Maana kwa mkemia mkuu mlolongo ni mrefu na majibu huwa yanakuwa yanapikwa(fabricated)na watu wa ustawi (kwa nilivyosikia).
Kumbe kwa mkemia mkuu kuna afisa ustawi wa jamii?😀
 
Wanaume shtukeni lol
Kushtuka muhimu sema haya mambo yalikuwepo kabla hatujatembea kwenye hii Dunia, yapo leo hii na kwa kuwa maisha yapo basi amin amin nakuambia haya mambo hayana budi kuwepo.

Yasipo tokea kwangu yatatokea kwa ndugu, jamaa, rafiki au jirani. Ni kama utapeli wa hela vile kila siku watu wanalizwa, unajiuliza hawajifunzi?? Lakini ndo vile.
 
Aisee kazi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…