Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Tuna ongelea kuhusu kiti🪑cha kukalia ofisini.Kwahiyo ukiwa dereva wa gari la serekali unaweza kumpa mkeo aende nalo Saloon, maana ni lako kwa muda huo?
Huyo mtoto aliyekalishwa na Samia alikuwa ni mtoto wake, ilikuwa ni ikulu?Tuna ongelea kuhusu kiti🪑cha kukalia ofisini.
Tatizo unataka ku complicate mambo.
Gari na kiti havina uhusiano wowote ule.
Mbona Raisi Samia alimwachia kiti yule mwanafunzi wa sekondari akaketi.
Mbona hamkuongea?
Hili la DC kumkalisha mwanae kwenye kiti tu, ndio inawauma!!!
Punguzeni chuki kidogo.
View attachment 3276194
Andamana basi.Huyo mtoto aliyekalishwa na Samia alikuwa ni mtoto wake, ilikuwa ni ikulu?
Ukizeeka utakuwa mchawi wewe....roho mubaya tuHivi hawa ma-DC huwa hawapewi mafunzo/maadili kabla ya hizi teuzi? Show off Hizi zitawaponza. Mambo yako binafsi/familia unayaletaje Kwenye ofisi za Umma?
Samia alifanya hivyo pia alipokuwa Tanga/Pwani ilikua ni maagizo asianze kukaa kwanza yeye😁😁Kiti kinawakilisha mamlaka, Baba anamkasimisha Mamlaka mtoto?
Ulimbukeni wa madarakaHivi hawa ma-DC huwa hawapewi mafunzo/maadili kabla ya hizi teuzi? Show off Hizi zitawaponza. Mambo yako binafsi/familia unayaletaje Kwenye ofisi za Umma?
Nicki wa Pili?Hivi hawa ma-DC huwa hawapewi mafunzo/maadili kabla ya hizi teuzi? Show off Hizi zitawaponza. Mambo yako binafsi/familia unayaletaje Kwenye ofisi za Umma?
Watu wanateuliwa wakiwa bar unategemea nini?Hivi hawa ma-DC huwa hawapewi mafunzo/maadili kabla ya hizi teuzi? Show off Hizi zitawaponza. Mambo yako binafsi/familia unayaletaje Kwenye ofisi za Umma?
Jenga tabia ya kuvumilia ukweli.Andamana basi.
Fanya maandamano kumshtaki DC kumkalisha mwanae kwenye kiti chake.
Maana mnataka ku complicate mambo.
Acha roho mbaya jamani. Sasa akitumbuliwa ndio utakaa wewe na kuwa DC?Siyo sheria, utaratibu na kanuni mtoto wako kukaa kwenye kiti cha Serikali. Hicho kiti ni cha Mhe. Rais. Kwanini mtoto akalie kiti hicho. Ni wakati muafaka huyo DC atumbiuliwe.