Umeambiwa timu za nje ya nchi zinapocheza na za ndani iwe ni Simba, Yanga , Azam au Lipuli unapaswa kuwa mzalendoSimba hawatakuwemo, maana Yanga inacheza na Namungo FC, LIpuli kwani nazo ni za nje?
Muwasho umemzidiii..itakuwa Mumewe anampapasaa tuu...Ana mume huyo mama?
Hajazungumzia ligi ya ndani wala njeHILO KATAZO LINAHUSU MPIRA WA MADOCHI WA ZEE WA LIGI ZA NJE HAITUHUSU HII
Umeambiwa timu za nje ya nchi zinapocheza na za ndani iwe ni Simba, Yanga , Azam au Lipuli unapaswa kuwa mzalendo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]washangilie Simba mpaka watakapopata nafasini kuwaonea YANGA mashindano na timu za nje huwa hawamo bhana
Hajazungumzia ligi ya ndani wala nje
Amezungumzia timu ya ndani inapocheza na ya nje
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama wamenunua jezi za Mazembe watafute wateja tu la sivyo weekend watakula wakiwa ndaniWatakaoathirika ni Yanga SC ya Jangwani, ndo wenye utamaduni huo.
Wanahama timu za kushangilia utadhani Nyumbu kuhama makazi ya Tanzania kwenda Kenya na Kenya kurejea Tanzania [emoji23] [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe utalazimika kishangilia Lipuli kamwene ili kuonyesha uzalendo wa Taifa lakoSASA WEWE LIPULI INA CHEZA NA CHAMA LANGU LA MAN UTD ANATAKA NIKAISHANGILIE LIPULI BAS TUKUTANE TAIFA