DC Kilolo asema wanaoshabikia Timu za nje kuwekwa ndani kwa kokosa uzalendo

DC Kilolo asema wanaoshabikia Timu za nje kuwekwa ndani kwa kokosa uzalendo

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Mkuu wa wilayani ya Kilolo Asia Abdalah amesema atawashughulikia mashabiki wote wanaoshabikia Timu za nje zinapokuja kucheza nchini Tanzania, ameongeza Kama timu ya Tanzania iwe Ni Simba au Yanga inacheza na timu nje Ni lazima watazania wote washangilie timu ya nyumbani kuonyesha uzalendo
Mashabiki wa Yanga wameonywa jumamosi Simba watacheza na TP Mazembe uwanja wa Taifa hivyo wanapaswa kuwaunga mkono watanzania wenzao la sivyo watakula weekend wakiwa ndani.

Source: Darmpya
Screenshot_20190326-122121~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HILO KATAZO LINAHUSU MPIRA WA MADOCHI WA ZEE WA LIGI ZA NJE HAITUHUSU HII
 
Huyu ndo ataaribu badala ya kuahidi kulipia Malaya wote baada ya mechi....yeye anaahidi kuswekwa ndani.....kapoteza
 
Watakaoathirika ni Yanga SC ya Jangwani, ndo wenye utamaduni huo.

Mbabane Swallows, Nkana FC, JS Saoura, As Vita, Al-Alhy zote hizo waliweka kiherere mbele na sasa wanajiandaa kuishangilia Tp Mazembe.

Wanahama timu za kushangilia utadhani Nyumbu kuhama makazi ya Tanzania kwenda Kenya na Kenya kurejea Tanzania [emoji23] [emoji1787]
 
Watakaoathirika ni Yanga SC ya Jangwani, ndo wenye utamaduni huo.

Wanahama timu za kushangilia utadhani Nyumbu kuhama makazi ya Tanzania kwenda Kenya na Kenya kurejea Tanzania [emoji23] [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama wamenunua jezi za Mazembe watafute wateja tu la sivyo weekend watakula wakiwa ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom