Matamko matamko kila aina! sasa hapa anaanzaje?Mkuu wa wilayani ya Kilolo Asia Abdalah amesema atawashughulikia mashabiki wote wanaoshabikia Timu za nje zinapokuja kucheza nchini Tanzania, ameongeza Kama timu ya Tanzania iwe Ni Simba au Yanga inacheza na timu nje Ni lazima watazania wote washangilie timu ya nyumbani kuonyesha uzalendo
Mashabiki wa Yanga wameonywa jumamosi Simba watacheza na TP Mazembe uwanja wa Taifa hivyo wanapaswa kuwaunga mkono watanzania wenzao la sivyo watakula weekend wakiwa ndani.
Source: DarmpyaView attachment 1054420
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana Mkuu wa wilaya, anza na washabiki wa Iringa wanaoshabikia Simba na Yanga badala ya Lipuli ya mkoani kwao. Ukitaka kula haramu kula tembo.Mkuu wa wilayani ya Kilolo Asia Abdalah amesema atawashughulikia mashabiki wote wanaoshabikia Timu za nje zinapokuja kucheza nchini Tanzania, ameongeza Kama timu ya Tanzania iwe Ni Simba au Yanga inacheza na timu nje Ni lazima watazania wote washangilie timu ya nyumbani kuonyesha uzalendo
Mashabiki wa Yanga wameonywa jumamosi Simba watacheza na TP Mazembe uwanja wa Taifa hivyo wanapaswa kuwaunga mkono watanzania wenzao la sivyo watakula weekend wakiwa ndani.
Source: DarmpyaView attachment 1054420
Sent using Jamii Forums mobile app
MashallahMkuu wa wilayani ya Kilolo Asia Abdalah amesema atawashughulikia mashabiki wote wanaoshabikia Timu za nje zinapokuja kucheza nchini Tanzania, ameongeza Kama timu ya Tanzania iwe Ni Simba au Yanga inacheza na timu nje Ni lazima watazania wote washangilie timu ya nyumbani kuonyesha uzalendo
Mashabiki wa Yanga wameonywa jumamosi Simba watacheza na TP Mazembe uwanja wa Taifa hivyo wanapaswa kuwaunga mkono watanzania wenzao la sivyo watakula weekend wakiwa ndani.
Source: DarmpyaView attachment 1054420
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulikuwa unamfahamu kabla ya hili tamko?Matamko matamko kila aina! sasa hapa anaanzaje?
Huyu mmama analazimisha kuingilia mioyo ya mashabiki. Hatari sana, itabidi waongeze majengo ya mahabusu maana idadi hiyo itakuwa ni balaa.Mkuu wa wilayani ya Kilolo Asia Abdalah amesema atawashughulikia mashabiki wote wanaoshabikia Timu za nje zinapokuja kucheza nchini Tanzania, ameongeza Kama timu ya Tanzania iwe Ni Simba au Yanga inacheza na timu nje Ni lazima watazania wote washangilie timu ya nyumbani kuonyesha uzalendo
Mashabiki wa Yanga wameonywa jumamosi Simba watacheza na TP Mazembe uwanja wa Taifa hivyo wanapaswa kuwaunga mkono watanzania wenzao la sivyo watakula weekend wakiwa ndani.
Source: DarmpyaView attachment 1054420
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie nimeshindwa aisee! Anatuaibisha wanawake wenzake😡😡.Ngoja nikae kimya nimsitiri mwanamke mwenzangu