Mkuu wa wilayani ya Kilolo Asia Abdalah amesema atawashughulikia mashabiki wote wanaoshabikia Timu za nje zinapokuja kucheza nchini Tanzania, ameongeza Kama timu ya Tanzania iwe Ni Simba au Yanga inacheza na timu nje Ni lazima watazania wote washangilie timu ya nyumbani kuonyesha uzalendo
Mashabiki wa Yanga wameonywa jumamosi Simba watacheza na TP Mazembe uwanja wa Taifa hivyo wanapaswa kuwaunga mkono watanzania wenzao la sivyo watakula weekend wakiwa ndani.
Source: Darmpya
View attachment 1054420
Sent using
Jamii Forums mobile app