DC Kilolo asema wanaoshabikia Timu za nje kuwekwa ndani kwa kokosa uzalendo

Haaa haaa haaaa. BTW hivi hawa Nyumbu wanaijua hii mipaka au sisi tu wanadamu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shabiki wa kweli wa simba hawezi kushabikia yanga vivyo hivyo na wa yanga hawezi shabikia simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzalendo pia ni uamuzi na mapenzi ya mtu mwenyewe kwani unaweza kulazimisha mapenzi? Je wakifungwauwa ndo mioyo yao itakuwa ya kizalendo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda hana mume ana frustrationa zake.
 
Kwani sisi yanga tumewakosea nini hawa [emoji3][emoji16][emoji23][emoji2][emoji1][emoji28][emoji38][emoji56][emoji48][emoji6][emoji54][emoji52][emoji58][emoji53][emoji51][emoji32][emoji47][emoji30][emoji27][emoji45][emoji40][emoji40][emoji33][emoji33]
Viva Tp mazembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…