DC Kilolo asema wanaoshabikia Timu za nje kuwekwa ndani kwa kokosa uzalendo

DC Kilolo asema wanaoshabikia Timu za nje kuwekwa ndani kwa kokosa uzalendo

Watakaoathirika ni Yanga SC ya Jangwani, ndo wenye utamaduni huo.

Mbabane Swallows, Nkana FC, JS Saoura, As Vita, Al-Alhy zote hizo waliweka kiherere mbele na sasa wanajiandaa kuishangilia Tp Mazembe.

Wanahama timu za kushangilia utadhani Nyumbu kuhama makazi ya Tanzania kwenda Kenya na Kenya kurejea Tanzania [emoji23] [emoji1787]
Haaa haaa haaaa. BTW hivi hawa Nyumbu wanaijua hii mipaka au sisi tu wanadamu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wa wilayani ya Kilolo Asia Abdalah amesema atawashughulikia mashabiki wote wanaoshabikia Timu za nje zinapokuja kucheza nchini Tanzania, ameongeza Kama timu ya Tanzania iwe Ni Simba au Yanga inacheza na timu nje Ni lazima watazania wote washangilie timu ya nyumbani kuonyesha uzalendo
Mashabiki wa Yanga wameonywa jumamosi Simba watacheza na TP Mazembe uwanja wa Taifa hivyo wanapaswa kuwaunga mkono watanzania wenzao la sivyo watakula weekend wakiwa ndani.

Source: DarmpyaView attachment 1054420

Sent using Jamii Forums mobile app
Shabiki wa kweli wa simba hawezi kushabikia yanga vivyo hivyo na wa yanga hawezi shabikia simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda hana mume ana frustrationa zake.
Mkuu wa wilayani ya Kilolo Asia Abdalah amesema atawashughulikia mashabiki wote wanaoshabikia Timu za nje zinapokuja kucheza nchini Tanzania, ameongeza Kama timu ya Tanzania iwe Ni Simba au Yanga inacheza na timu nje Ni lazima watazania wote washangilie timu ya nyumbani kuonyesha uzalendo
Mashabiki wa Yanga wameonywa jumamosi Simba watacheza na TP Mazembe uwanja wa Taifa hivyo wanapaswa kuwaunga mkono watanzania wenzao la sivyo watakula weekend wakiwa ndani.

Source: DarmpyaView attachment 1054420

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
Huyu atakuwa anakabiliwa na ukosefu na Mpigamiti
 
Kwani sisi yanga tumewakosea nini hawa [emoji3][emoji16][emoji23][emoji2][emoji1][emoji28][emoji38][emoji56][emoji48][emoji6][emoji54][emoji52][emoji58][emoji53][emoji51][emoji32][emoji47][emoji30][emoji27][emoji45][emoji40][emoji40][emoji33][emoji33]
Viva Tp mazembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom