Kuna mtu anajenga jengo linaloelekea kama ni kanisa. Jengo hilo liko jirani na nyumbani ya marehemu Apson aliyekuwa mkurugenzi wa TISS huko Mbezi Beach.Mj enzi wa hili jengo ana asili ya Nigeria na anajenga bila kibari katikati ya makazi sehemu isiyo rasmi kwa kanisa! Sehemu yenyewe imejificha hivyo Inawezekana ikawa ni Pazia ya kufanya biashara haramu kwa kivuri cha dini!
Wahusika fuatilieni ujenzi huu kwani uko katikati ya makazi.
Wahusika fuatilieni ujenzi huu kwani uko katikati ya makazi.