DC Kinondoni: Fuatilia ujenzi huu holela!

DC Kinondoni: Fuatilia ujenzi huu holela!

hakuna kanisa geni ndugu, shida huwa huendi makanisani na una chuki na makanisa.
Wewe ni lazima mdau wa biashara za hizo nyumba za ibada!
Mimi sijasema dini ngeni wewe bwege, nimesema wanaoendesha hayo makanisa ni wageni wengi wao kutoka Nigeria! Umeelewa?
 
hata kwenu mnafanya biashara, unaonekana mdini. acha watu waabudi jombaa.
Usitumie dini kuvunja sheria za nchi!
Madhehebu ndio yamekuwa vichaka vya uhalifu na kuwa haribia watu maisha yao.
 
M-tanzania huwezi kwenda Nigeria wakakupa kiwanja Mbezi Beach ya Lagos

halafu kutoka kwenyewe umetoka kwa mchongo wa kanisa, yani uende Nigeria uanzishe kanisa halafu wajue ni mpogoro wa Kilombero! Watakuja usiku kukupasua fuvu!

Sisi ni mazezeta, hatujui thamani ya vitu vyetu, kila kitu tunagawa bure, hata ambapo tukigawa tunakuwa dis-placed, tunakwenda uswazi, tuko comfortable kuwa masikini wachafu mbele ya mgeni... hata mgeni M-nigeria tunamfagilia, mchawi, mla ugali wa fufu, anae run a corrupt failed state, terrorism-plagued country, bado tunamfagilia
 
Wabongo tuna roho mbaya
Sio roho mbaya, wote tunapaswa kuwa hivyo. Huo ni uwajibikaji
Nchi zote zilizoendelea wananchi wake wapo hivyo. Wapo makini kwa kila kinachoendelea wanapoishi na wakiona Kuna kitu hawakijui vizuri wanatoa taarifa faster.
Kuna nchi nilienda, kuna siku nilienda kwa mwenyeji wangu na mzigo mkubwa ukiwa imefungwa kwenye box kubwa. Huwezi amini jirani aliona kupitia dirishani akapiga simu polisi. Polisi wakaja faster kukagua ni nini kilichomo.
 
wewe ndio mtoa vibali ndio maana unajua hana kibali? au ni kwasababu linalojengwa ni kanisa? mtachukia nyumba za Mungu hadi lini nyie wafuasi wa mashetani?
Kama mwenye jengo ni Mnijeria, basi kaishaona fursa hapo. Anaanza kwanza na kanisa ili apate hela za kwenda kujenga kwao Nigeria, na kuendesha maisha yake kupitia sadaka za wadanganywa nyika au tuite tu watanganyika, na pili huenda amegundua hilo eneo ni zuri kwa zile biashara zao ambazo huwa wanazifanya katika nchi ya kigeni. Haiwezekani Mnigeria ashindwe kutangaza neno la Mungu kwao kulipojaa matapeli wa kimataifa, wauza unga nk aje atangaze katika nchi nyingine ya watu. Inamaana wanaijeria walishaona nchi zingine ndo zinadhambi sana kuliko nchi yao. Mwananchi amka, acha kufanywa daraja la kufikia mafanikio ya watu wengine.
 
Ukichunguza wanaoendesha hayo makanisa ni wageni hasa wanigeria ambao wanafahamika kwa biashara ya madawa ya kulevya hivyo kutumia mwavuli wa kanisa kuficha madudu yao! Wanajenga makanisa yao sehemu za matajiri kwani ndio kwenye soko la bidhaa zao!
Duuh
 
Ahsante kwa taarifa...

WATANZANIA tunapaswa Kuwa vigilant, nchi yetu inachezewa sana na wageni; kweli siku hizi hawa jamaa zetu wanigeria wamejazana sana kwenye makanisa huko mbezi beach lazima kuna lao jambo, tuwe macho nao kwani wengi wao waliokamatwa walikuwa wanajihusisha na dini huku wakifanya biashara haramu!!
Ni vyema wahusika wakazifanyia kazi taarifa hizi kutoka kwa raia wema.
 
DC awe mwadilifu, usishangae atafika hapo kavaa miwani ya mbao

Screenshot_20220305-075111_Gallery.jpg
 
1. Jengo linajengwa Mtaa gani
2. Weka Picha kama inawezekana
Umeshapewa taarifa toka kwenye kiti kachunguze unataka usaidiwe hadi picha. Kazi kusoma mafaili tu amka nenda field
 
Back
Top Bottom