Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, Kamishna Mstaafu wa Uhifadhi, William Simon Mwakilema amewahimiza Wananchi wa Wilaya ya Korogwe na Wananchi wa maeneo mengine waliojiandikisha kupiga kura kujitokeza kwenye Vituo vya kupigia kura siku ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025.
Soma: Samia: Tujitokeze kwa wingi Oktoba 29 tuwazibe midomo
Amesema, ni haki ya kila Mtanzania mwenye sifa kuchagua Viongozi ambao watawaletea maendeleo, akisisitiza kuwa wananchi watahakikishiwa ulinzi na usalama bila kubugudhiwa.