PreGE2025 DC Kubecha afuturisha na kutoa mkono wa Eid kwenye vituo vya kuelela watoto yatima

PreGE2025 DC Kubecha afuturisha na kutoa mkono wa Eid kwenye vituo vya kuelela watoto yatima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Aloo, kila sehemu ni 'sadaka' tu, afu mwishoni unasikia Samia ametuhimiza tuwe na moyo safi... ni huzuni:BearLaugh::BearLaugh:

====


​
Mkuu wa wilaya ya Tanga Japhari Kubecha Kueleka Kumaliza mwezi Mtukufu wa Ramadhan Amefuturisha na Kutoa mkono wa Eid kwenye Vituo vya Watoto wenye Mahitaji.

Aidha Mkuu wa wilaya Amewashukuru sana Watu Wote Waliojitokeza katika Iftari Hii ya Pamoja Sambamba na Kugawa Mkono wa Eid kwenye Vituo venye watoto wenye Uhitaji.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Pia Amewasihi Kuendelea kuwa Wamoja lakini Kuwa Watulivu na Wenye Kushikamana Wakati wote na Kula Sikukuu kwa Amani, Pia Amesisitiza Kuendelea Kumuombea Rais Samia kwa Kazi Kubwa na Nzito ambayo Ameendelea na Anaendelea Kuifanya, Kuendelea Kutuletea Fedha Mbalimbali za Miradi na Kufanya Wilaya ya Tanga Kuendelea Kustawi Wakati Wote.
 
Hayo mambo ya kufuturisha yanatusaidia nini, Kuna wengi wana shida ambayo hawakufuturishwa.
 
Back
Top Bottom