Aloo, kila sehemu ni 'sadaka' tu, afu mwishoni unasikia Samia ametuhimiza tuwe na moyo safi... ni huzuni
====
Your browser is not able to display this video.
Mkuu wa wilaya ya Tanga Japhari Kubecha Kueleka Kumaliza mwezi Mtukufu wa Ramadhan Amefuturisha na Kutoa mkono wa Eid kwenye Vituo vya Watoto wenye Mahitaji.
Aidha Mkuu wa wilaya Amewashukuru sana Watu Wote Waliojitokeza katika Iftari Hii ya Pamoja Sambamba na Kugawa Mkono wa Eid kwenye Vituo venye watoto wenye Uhitaji.
Pia Amewasihi Kuendelea kuwa Wamoja lakini Kuwa Watulivu na Wenye Kushikamana Wakati wote na Kula Sikukuu kwa Amani, Pia Amesisitiza Kuendelea Kumuombea Rais Samia kwa Kazi Kubwa na Nzito ambayo Ameendelea na Anaendelea Kuifanya, Kuendelea Kutuletea Fedha Mbalimbali za Miradi na Kufanya Wilaya ya Tanga Kuendelea Kustawi Wakati Wote.