Pre GE2025 DC Lindi Victoria Mwanziva aendelea na ziara ya ukaguzi wa miradi na kusikiliza changamoto za Wananchi

Pre GE2025 DC Lindi Victoria Mwanziva aendelea na ziara ya ukaguzi wa miradi na kusikiliza changamoto za Wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mkuu wa Wilaya ya Lindi- Victoria Mwanziva ameendelea na ziara ya Kata kwa Kata katika Wilaya ya Lindi; na ziara hii inafanya ukaguzi wa miradi ya maendeleo na imetoa uwanda mpana wa kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Aidha, DC Mwanziva amefanikiwa kufanya ukaguzi wa miradi ya Afya, Elimu, Maji kata ya Kitomanga na mkutano wa hadhara na wananchi wa Kata ya Kitomanga, Manispaa ya Lindi.
DC Mwanziva amekagua utoaji wa huduma za afya katika wodi ya mama na mtoto- na kutoa mahitaji kwa wakinamama waliojifungua- katika kituo cha afya Kitomanga.
Screenshot 2025-03-12 203613.png
 
Unakagua mradi ambao hujautolea pesa wala hujui mkandarasi ni nani?
Hivi kazi za DC ni zipi hasa zaidi ya ile y kukimbiza MWENGE WA UHURU???
 
Back
Top Bottom