figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Chini ya Mmakunduchi nchi inarudi kuwa shamba la bibi kwa kasi sanaMkuu wa wilaya ya Ilala Ngw'ilabuzu Ndatwa Ludigija ametahadharisha Wananchi wa Dar kwamba Wasinunue mafuta ya kwenye Madumu.
Kasema Pwani ya Dar kuna Meli inamwaga maduta, fukwe zote zimejaa mafuta ambayo bado haijafahamika, hivyo watu wanachota na kwenda kuuza Mtaani. Mafuta haya yanaweza kuharibu Injini ya gari. Na wale wanaoishi jirani na Dar wawe makini. Mafuta haya yapo Mkuranga Bagamoyo na Tanga
Pia amepiga marufuku watu kutumia maji ya bahari hadi Uchunguzi utakapo kamilika. Haijajulikana mafuta yale yana mchanganyiko wa Vitu gani.
View attachment 2178278
Hapana kwa vile ni bahari watakwambia ni kinyesi cha samaki; kimezidi (capacity) uwezo wa bahariSiyo mafuta ni kinyesi cha ng'ombe tani bilion 25
Nunuwa mafuta kwenye filling station, usichoelewa hapo ni kitu gani?Kama si DC basi muwasilisha mada ndio ana shida sehemu!
Hebu fafanua ni madumu ya aina gani-Lita 1,3,5 au 20? Au madumu ya aina gani?
Hahaha, itakua ni kinyesi cha papa hiki wakuu, chukueni tahadhariHapana kwa vile ni bahari watakwambia ni kinyesi cha samaki; kimezidi (capacity) uwezo wa bahari
Sababu ipi nyingine?Nashangaa hili tatizo wameshalitengeneza kwa kutuambia sababu ni vita ya Urusi na Ukraine, lakini naona bado wanaendelea kuliongezea sababu nyingine za hovyo ilimradi kuhalalisha uhaba wa mafuta.
Huyu Rais mtetezi wa wafanyabiashara aondoke tu, hana akili ya kuongoza hili taifa na hata wasaidizi na washauri wake pia nao hawana akili za kutuongoza, wote ni failure.
Mkuu wa wilaya ya Ilala Ngw'ilabuzu Ndatwa Ludigija ametahadharisha Wananchi wa Dar kwamba Wasinunue mafuta ya kwenye Madumu.