DOKEZO DC Magembe (Geita) ni muongo, anastahili kuchunguzwa na mamlaka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huyu Mkurugenzi hafai anatumia vibaya sn fedha za umma na ni mwizi
 


DC amesema Mkurugenzi mara nyingi anakaimisha

So atakuwa anasafiri Sana inje ya inchi hii ya china sio mara yake ya kwanza
 
Umefanya jambo jema sana kuweka ushahidi huo wa kinyaraka maana mimi mwenyewe niliona ni kama kuna jambo halijakaa sawa ,maana isingewezekana DED asafiri tu kienyeji.

Kwanza mkurugenzi angepeleka hizo nyaraka zake Kwa boss wake

Pili hoja ya DC ni kuwa kwenye vikao muhimu mkurugenzi anakuwa Safari

Hii tabia itakuwa ni mara nyingi sana

Sidhan kama DC ana makosa hapa
 
tuwekee na kibali cha kutoa nyaraka za serikali hadharani, kwahiyo wewe umekuwa takukuru?
Ndio maana pale kuna anonymous pia ameclarify hali ya hewa na kutoa sintofahamu na uzishi wa DC au wewe ndio DC sasa unaona unadharirika?
 
Kwanza mkurugenzi angepeleka hizo nyaraka zake Kwa boss wake

Pili hoja ya DC ni kuwa kwenye vikao muhimu mkurugenzi anakuwa Safari

Hii tabia itakuwa ni mara nyingi sana

Sidhan kama DC ana makosa hapa
DC yupo sahihi
 
Kwaiyo hizo Barua za DED kwenda nje ya nchi,DC haruhusiwi kuziona?mbona naona kama DC hana taarifa!
DED hareport kwa DC, sasa DC apewe taarifa za kazu za DED kama nani?

MaDC ni manyapara tu ya ccm hakuna la zaidi
 
Zahra Michuzi ni Binti wa Muhidin Issa Michuzi, mpiga picha maarufu mstaafu wa Daily News na kisha akahudumu kama mpiga picha wa Ikulu kipindi cha Awamu ya 4 akiwa chini ya Salva Rweyemamu.

Binti kapata kazi kwa influence ya baba na siyo weledi wake. Angekuwa na weledi asingeganya anayoyafanya. Kwanza anaonekana hana unyenyekevu kwa Raisi wa Wilaya (DC). Pili anaonekana hajui mamlaka ya DED ni nini? Na tatu anavunja sheria ya utunzaji nyaraka za serikali. Hamna namna anaweza akatoka kwenye tuhuma ya kuiweka wazi barua ya RAS kumpa ruksa kwenda China.

Amemdhalilisha Baba yake Muhidin Issa Michuzi aliyempigia debe akapata kazi hiyo

Nashauri TISS Wilaya/Mkoa watoe dokezo la siri kwa Mamlaka ya Uteuzi ili kuondoa mediocrity kwenye ofisi za serikali.

USHAURI:
Ifike mahali Rais arudi kwenye mfumo wa zamani wa kuteua Ma DED. Ma DED kabla ya 2016 alipokuja Mwendazake walikuwa wanatokana kwenye safu za utumishi za Halmashuri za Serikali za Mitaa
Mtu anaanza kama Ofisa Mipango III, Mhasibu, Mhandisi, DMO etc ambaye ametoka chuo, kisha hupanda ngazi mbalimbali hadi kufikia kuwa mkuu wa idara kwenye Halmashauri husika kama Municipal Engineer, Treasurer, District Planning Officer etc.

Kisha zinapotokea nafasi zilizowazi kwenye Halmashauri fulani ndipo Waziri wa Tamisemi kupitia Katibu Mkuu wake wanaangalia kanzidata yao ya human resources na kuchagua wale wanaoona wanafaaa na kisha kuwapendekeza kwa Rais. Naye Rais baada ya vetting ndipo anaridhia.
 
Natamani mamlka za uteuzi ziniteue leo hii halafu zinikabidhi mimi mtu kama huyu anayependa kuvuruga wenzake
 
mamlaka iliyomteau huyu mkuu wa Wilaya ndo ya hovyo kupita uovyo wa Dc mwenyewe.
ili LIKUULAWILAYA lilipo tolewa ukurewe, liliiba furniture za ofisi na nyumba aliyofikia uwezi amini na tulilisema kupitia hapa, aliiba mpaka dodoki za choo,

Bado kama haitoshi ni miongoni mwa waujumu wa vyama vya Ushirika mathalani ukienda pale MAGU TEACHERS SACCOS alichukua mkopo na halipi nashindwa kuelewa mamlaka zinazomfanyia VETTING huyu jamaa hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi, nasikia nafasi hii aliipata kwa sababu baba yake alikuwa dr wa JPM, NDO KINACHOMBEBA MPAKA LEO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…