Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
Wameona safari hii wananchi waharudi nyuma, walichobakiza ni vitisho tu, tutawashughulikia, mara mimi ni amiri jeshi mkuu, mara msithubutu....... lakini unajua nini, sasa yamebaki kuwa maneno tu bila uzito wowote! Watanzania wanataka amani ya kweli inayobebwa na haki, wanataka wezi wote hapate haki yao, wauaji wote wachukuliwe hatua, ndugu zetu waliopotezwa wapatikane, nchi irudi mikononi mwa wananchi!
=====
DC Magoti akiwa kwenye gari kuelekea Kisarawe, ametuma ujumbe huu kwa Watanzania:
"Ni mwendo wa showshow, hatucheki na yeyote, ukipewa kazi fanya kazi uipende kazi, kati itakupenda. Hapa tunaitafuta kisarawe, ngoma imepamba moto, ngoma inogile, hakatizi kenge hapa mbele.
"Tumepiga kazi vizuri sana sana, awamu ya sita kazini, kazi na utu tunasonga mbele. Halafu serikali inafanya kazi mtu mmoja anakunywa shisha, amelala, anaishi kwenye nyumba ya babu yake ya urithi, halafu anasema patachimbika. Heheeerr patachimbika? Hivi unajua maana ya kuchimbika wewe? Acha wewe!
"Unalala na mkeo elewa kwamba serikali inakesha kukulinda wewe, eti patachimbika! Zikipigwa baruti za birthday unakojoa ndani, acheni kutisha serikali, msicheze nyie, msicheze kabisa na serikali, serikali kitu kingine.
"Watu tunahangaika hapa na mipaka watu muishi vizuri mlale halafu mnaleta mambo ya ajabu. Tulieni jamani, haya maisha haya tupendane, tuishi kwa upendo na amani. Tuheshimiane, muheshimu serikali, msitukane serikali."