GE2025 DC Magoti anasema tusicheze na serikali, serikali ni kitu kingine! Tunawaambia vitisho vimefika mwisho

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Wameona safari hii wananchi waharudi nyuma, walichobakiza ni vitisho tu, tutawashughulikia, mara mimi ni amiri jeshi mkuu, mara msithubutu....... lakini unajua nini, sasa yamebaki kuwa maneno tu bila uzito wowote! Watanzania wanataka amani ya kweli inayobebwa na haki, wanataka wezi wote hapate haki yao, wauaji wote wachukuliwe hatua, ndugu zetu waliopotezwa wapatikane, nchi irudi mikononi mwa wananchi!

=====

DC Magoti akiwa kwenye gari kuelekea Kisarawe, ametuma ujumbe huu kwa Watanzania:

"Ni mwendo wa showshow, hatucheki na yeyote, ukipewa kazi fanya kazi uipende kazi, kati itakupenda. Hapa tunaitafuta kisarawe, ngoma imepamba moto, ngoma inogile, hakatizi kenge hapa mbele.

"Tumepiga kazi vizuri sana sana, awamu ya sita kazini, kazi na utu tunasonga mbele. Halafu serikali inafanya kazi mtu mmoja anakunywa shisha, amelala, anaishi kwenye nyumba ya babu yake ya urithi, halafu anasema patachimbika. Heheeerr patachimbika? Hivi unajua maana ya kuchimbika wewe? Acha wewe!

"Unalala na mkeo elewa kwamba serikali inakesha kukulinda wewe, eti patachimbika! Zikipigwa baruti za birthday unakojoa ndani, acheni kutisha serikali, msicheze nyie, msicheze kabisa na serikali, serikali kitu kingine.

"Watu tunahangaika hapa na mipaka watu muishi vizuri mlale halafu mnaleta mambo ya ajabu. Tulieni jamani, haya maisha haya tupendane, tuishi kwa upendo na amani. Tuheshimiane, muheshimu serikali, msitukane serikali."


Your browser is not able to display this video.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Kwani nchi zingine ambazo wananchi wamezitumua serikali, hizo serikali zao zilikua legelege? Hapana chezea wananchi wakichoka na serikali katili.
Hilo jeshi na polisi ni watoto na wazazi wa raia hao hao. Hakuna ukoo ambao ni jeshi, wao pia wakiona wananchi wanaumia wanaigeuka serikali. DC akamuulize Rajoelina na waziri mkuu wa Nepal nao walikua na vitisho na matamko makali hivo hivo.
 
Sativa255 alisema.
"Akivua nguo ni kama mbu
Akivaa suti ni kama gitaa "
Mwisho wa kunukuu
 
Mh. DC umeongea vitu vya maana lakini swali tu hivi wananchi si ndio wanatupa hiyo kazi ya kuwalinda?
Ikiwa wameamua kubadilisha mlinzi kosa lao liko wapi 🤔
 
Wananchi tupambane ili Katiba mpya itokanayo na matakwa ya wananchi ipatikane baraka iwezekanavyo. Vyeo kama hivi vya kupeana, tungevifutilia mbali, na hivyo kuokoa mamilioni ya fedha za wavuja jasho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…