The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Wananchi wa Kijiji cha Homboza wilayani Kisarawe mkoani Pwani, wameiomba Serikali iingilie kati mgogoro wa ardhi uliopo na watu kupata vitisho na kujeruhiwa mara kwa mara sababu kubwa ikiwa ni kuuziwa ardhi eneo la Serikali.
Wameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Bw. Petro Magoti wakati alipowatembelea kutatua changamoto hiyo.
Kwa upande wake Magoti baada ya kusikiliza kero hizo, ametoa siku 14 wale wote waliouziwa eneo la Serikali kujisalimisha na hati zao kuzungumza ili kupata suluhu ya changamoto hiyo.