DC Magoti asema hakuna wa kuhoji, aagiza waliouziwa eneo la serikali wajisalimishe

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Wananchi wa Kijiji cha Homboza wilayani Kisarawe mkoani Pwani, wameiomba Serikali iingilie kati mgogoro wa ardhi uliopo na watu kupata vitisho na kujeruhiwa mara kwa mara sababu kubwa ikiwa ni kuuziwa ardhi eneo la Serikali.

Wameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Bw. Petro Magoti wakati alipowatembelea kutatua changamoto hiyo.

Kwa upande wake Magoti baada ya kusikiliza kero hizo, ametoa siku 14 wale wote waliouziwa eneo la Serikali kujisalimisha na hati zao kuzungumza ili kupata suluhu ya changamoto hiyo.
Your browser is not able to display this video.
 
kwetu vijitu kama hivi wamama wazalishaji /wakunga wa jadi walikuwa ..... huku huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…