Wakimpeleka Luca masaini itakuwa wametenda haki maana maasai wote watabubujikwa na machozi ya furaha tu, si malaiboni, si morani, si mama yeyoo na si kina kokoo wote itakuwa kicheko tu!!Mleta mada si ndio Magoti mwenyewe hapa anajipigia promo tu.
Ila kwanini wasimpe Lucas Mwashambwa?
Wewe ni mvivu wa akili.DC namba 1 duniani inatajwa kuwa atajamishiwa Ngorongoro ili kunyoosha wakaidi huko
Anaendaje kuwa DC kwenye nchi ya WANYAMA PORI.DC namba 1 duniani inatajwa kuwa atajamishiwa Ngorongoro ili kunyoosha wakaidi huko
Tatizo mnasoma kamstari kamoja ka sheria, halafu mnajiona tayari mnajua sheria.Kasome msimamizi wa ardhi ya Tanzania ni nani? Wengine wote mnapangishwa (lease) kwa Miaka kadhaa, 33, 99.
Wewe ndiyo ukasome kazi za "Msimamizi" ni zipi as opposed to kazi za Watanzania woteArdhi ni ya watanzania wote yule sio yake yeye ni msimamizi TU wa rasilimali ndio mnavyofundishana huo ujinga huko Shule ya Msingi kwamba Ardhi yooote ya Tanzania mmiliki ni yeye?
Bavicha akili zenu mnazijua wenyewe!DC namba 1 duniani inatajwa kuwa atajamishiwa Ngorongoro ili kunyoosha wakaidi huko
Maelezo mazuri kiasi. Tatizo unaonesha unachuki na waarabu na hata raisi.Tatizo mnasoma kamstari kamoja ka sheria, halafu mnajiona tayari mnajua sheria.
Rais hana mamlaka ya kuhamisha watu. Mamlaka ya Rais ni kubadilisha matumizi ya ardhi tu. Na katika kubadilisha matumizi hayo ya ardhi, sharti kuu ni lazima mabadiliko hayo yawe kwa manufaa ya umma. Hivyo kwenye hili ni lazima mabadiliko hayo ya matumizi ya ardhi yathibitike moja kwa moja kuwa kuna manufaa makubwa ya umma, na uwepo wa masasai huko Ngotongoro ni hasara kwa umma. Lazima manufaa hayo yathibitike ni kwaajili ya umma, na siyo mwarabu.
Rais akishabadilisha matumizi ya ardhi ardhi, kinachofuata ni relocation plan ambayo inatakiwa izingatie mwongozo wa World Bank. Mwongozo huo unataka usimpeleke mbali uliyemhamisha kiasi cha kumfanya aliyehamishwa kukutana na mazingira tofauti kabisa ya tamaduni na shughuli zake za kiuchumi alizozizoea. Kwa hali iliyopo huwezi kusema kuna hasara za moja kwa moja za wamasai kuendelea kuwepo Ngorongoro. Na huwezi kusema kuwa uhamishaji wa wamasai ili kumridhisha mwarabu aliyepewa rasilimali za nchi kwa deals chafu, kuna manufaa ya moja kwa moja kwa nchi. Na hata kama kuna manufaa kwa umma, huwezi kusema kuwahamisha wamasai toka Manyara mpaka Tanga watakutana na mazingira yanayofanana kitamaduni na kishughuli za kiuchumi.
Huko atapigwa shoo mpaka ajute , kule kunaitaji busara na akili sio mpweche mpwecheDC namba 1 duniani inatajwa kuwa atajamishiwa Ngorongoro ili kunyoosha wakaidi huko
Acha ujinga Wewe MaandaziWewe ndiyo ukasome kazi za "Msimamizi" ni zipi as opposed to kazi za Watanzania wote
Tatizo wewe ni tabula rasa tu. Huna kitu kichwani ndiyo maana unakimbilia matusi. Mbona swali jepesi kama hilo unashindwa kujibu ? Hata mimi naweza kutukanaAcha ujinga Wewe Maandazi
Jambo la kuzingatia, wamasaai hatuna huruma kwa hali yyt, we will treat him the same na zaidi kulingana na atakavyokuja!!DC namba 1 duniani inatajwa kuwa atajamishiwa Ngorongoro ili kunyoosha wakaidi huko
Loliondo imefutwa?Anakwenda kuwa DC wa nani huku hiyo wilaya imefutwa
Ila anko sometimes unaanzaga ugomvi mwenyewe πππRais Samia huwa hateui Wapumbavu Ok?