Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Ingetegemea na utetezi wao na makosa yao. Wangeweza kuonywa au kufukuzwa. Kama hakukuwa na sababu nzito za kuchelewa kwao, na baada ya vikao vya kinidhamu kwa mujibu wa sheria, hao watumishi walipaswa kuachishwa kazi
Poor minded ni mtu yeyote anaetumia sheria na taratibu za kazi kama kinga dhidi ya uzembe na matumizi mabaya ya Ofisi. Wewe unaejua sheria za kazi inakuaje unapanga ratiba ya kikao wewe mwenyewe halafu DC anafika kwa wakati halafu wewe mtumishi mwenye kujua "sheria na taratibu" unafika kwa kuchelewa kwa saa3 i.e kutoka saa mbili asbh unafika saa 5 asbh halafu unajitapa unajua sheria za kazi. Visingizio vya kufiwa, foleni, kuuguliwa vipo kwa watumish wa Umma peke yake? Mfanyakazi wa Stanbic Bank anawahi kila siku ofisin posta, mfanyakazi wa ofisi ya Umma nae anachelewa kila siku ofisini posta lakin wote wanaishi mtaa mmoja kimara jee huko barabarani kuna folen za watumish wa Umma na wengine tofauti? Msipojinyoosha mtanyooshwa this time!
Mkuu idoyo ..ww ni kilaza sana.kwanza kudharau wasio na kaz ...inaonyesha ulivyolimbuken wa kutumikishwa kazi za watu.....sasa tufanye zifuatwe taratibu ungefurahi wangefujuzw? kazi?? watumishi walio wengi(sio wote wa serikali)ni wazembe kuliko maelezo....wanyooshwe tu
Serikal ya kucheka cheka na Watumishi wa Umma imemaliza muda wake 5 Nov. 2015. Ccm imechukiwa kwa sababu ya Watumish wa Umma washenzi lazima wanyooshwe! Hizo nchi tunazozitumia kama Mfano watu wana nidhamu ya utendaji kazi, leo Sourthern of Sahara sifa kubwa ya watanzania ni kuchelewa kufika kwenye Vikao.
Mkuu HAMY-D, ameweka video ya sakata la kuswekwa ndani kwa Watendaji wa Ardhi wa Kinondoni kwa amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo,Mhe. Paul Makonda.
Kuna angalizo la kisheria, chini ya kifungu kidogo cha 9 cha kifungu hicho cha 15 cha Sheria tajwa. Angalizo lenyewe ni hili:
(9) Where a District Commissioner exercises the
power conferred on him by this section in abuse of
the authority of his office, then he, as well as any other
Person involved in procuring the District Commissioner
to exercise the power in abuse of authority, is
guilty of an offence and may be proceeded against m
accordance with section 96 of the Penal Code.
Ni hayo tu. Tukubaliane kuwa, DC Makonda alikosea kufanya alivyofanya kwakuwa makosa ya Watendaji hao ni makosa ya kinidhamu na si jinai.
[h=2]DC Makonda 'amekiri' kuwa lilikuwa ni suala la kinidhamu, alikosea[/h]
Mkuu, kuna adhabu kulingana na uzito wa kosa. Ndiyo maana ya kadhalika. Uyumwike?
ndugu katika utumishi wa uma kuna kamati za nidhamu ambazo zinashughulikkia masual yote ya nidhamu ya watumishi.Ingetegemea na utetezi wao na makosa yao. Wangeweza kuonywa au kufukuzwa. Kama hakukuwa na sababu nzito za kuchelewa kwao, na baada ya vikao vya kinidhamu kwa mujibu wa sheria, hao watumishi walipaswa kuachishwa kazi