DC MDC Mwenda akabidhi Magari 4 ya kubebea Wagonjwa kuboresha Huduma za Afya Iramba

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
DC MWENDA AKABIDHI MAGARI 4 YA KUBEBEA WAGONJWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA IRAMBA

Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Alhaj Suleiman Yusuph Mwenda, Jumatano Julai 15, 2026, amekabidhi magari manne (4) ya kubebea wagonjwa (ambulance) kwa ajili ya kuimarisha huduma za afya katika Vituo vya Afya vya Tyegelo, Shelui, Ndago na Kinampanda.

Magari hayo yametolewa ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, aliyoitoa wakati wa ziara yake ya kuwashukuru wananchi wa jimbo hilo.

Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, DC Mwenda amesema hatua hiyo itasaidia kupunguza changamoto ya usafirishaji wa wagonjwa, hususan wajawazito, watoto na wagonjwa wanaohitaji huduma za rufaa, hivyo kuongeza upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wananchi.

"hakikisheni magari haya yanafanyiwa matengenezo mara kwa mara na kutunzwa pia yanatumika kwa ajili ya kubebea wagonjwa na si kuyatumia kwenye shughuli za kiutawala " Alisema DC Mwenda.

Kwa Upande wake Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Iramba Innocent Msengi ameishukuru Serikali kwa kuipatia Wilaya ya Iramba Magari ya kubebea wagonjwa yatasaidia kuondoa adha waliyokuwa wanapata Wagonjwa has a Wamama Wajawazito pindi wanapokaribia kujifungua.

Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuwekeza katika kuboresha miundombinu, vifaa tiba na usafiri wa wagonjwa, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhakikisha wananchi wanapata huduma za afya kwa wakati, kwa ubora na kwa ufanisi.
 
Attachments

  • DC MWENDA AKABIDHI MAGARI 4 YA KUBEBEA WAGONJWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA IRAMBAMkuu wa Wilaya y.webp
    DC MWENDA AKABIDHI MAGARI 4 YA KUBEBEA WAGONJWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA IRAMBAMkuu wa Wilaya y.webp
    74.7 KB · Views: 21
  • DC MWENDA AKABIDHI MAGARI 4 YA KUBEBEA WAGONJWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA IRAMBAMkuu wa Wilaya...webp
    DC MWENDA AKABIDHI MAGARI 4 YA KUBEBEA WAGONJWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA IRAMBAMkuu wa Wilaya...webp
    40.1 KB · Views: 19

    94.5 KB · Views: 23

    55.5 KB · Views: 17

    79.2 KB · Views: 17

    69.1 KB · Views: 16

    63.3 KB · Views: 18

    101.9 KB · Views: 20

    37.6 KB · Views: 19
Back
Top Bottom