DC mdogo kuliko wote Tanzania, ashirikiana na mbunge kuimba wimbo kuhamasisha Elimu Wilayani

DC mdogo kuliko wote Tanzania, ashirikiana na mbunge kuimba wimbo kuhamasisha Elimu Wilayani

Watu tunamauwezo ya ajabu ni vile tuko wavivu tu...
 
Nothing special. Miaka 23 kuwa mkuu wa wilaya ni kawaida sana. Kwani ukuu wa wilaya unahitaji ujuzi gani maalum zaidi ya kujua kusoma na kuandika?
 
Siku zote nawaambiaga msemo guy "less minded people always discuss people rather than issues ". Under this circumstance we can not get anywhere. How can we proud ourself as great thinkers while we are spending more time discussing people rather than issues.
issues are being brought by people,thus issues and people are inseparable. We need to know who are these people making issues. There we can understand their competencies and capability to hod those offices not wait until we fail.
 
Elimu yake ya chuo kikuu aligraduate akiwa na miaka mingapi?.CV yake tuipate tufahamu uwezo wake wa kuyamudu majukumu ya kazi hiyo ya u-DC.
Lakini miili ya hawa wenzetu duh yaani utadhani ana30 yrs vile au ndo majukumu?
 
Hapo kuna sababu za kuwa DC. Ama fadhira kwa wazazi au Ndugu zake, ama chakula ya wakubwa
 
issues are being brought by people,thus issues and people are inseparable. We need to know who are these people making issues. There we can understand their competencies and capability to hod those offices not wait until we fail.
How can you we discuss issues brought by people rather than age status of person. Somebody can how the age blow 30 years in life but she/he has made remarkable progress. You spend time discussing age or gender you turn to be stupid. We have seen elders who have done nothing in their life but young people have done remarkable changes. Issue is not the age or gender let we discuss what has a young and energetic leaders has brought changes or not. Vinginevyo mtakuwa watabili ambao sio
 
Mambo mengine ni upuuzi tu huyo bibi anayejiita 23 yrs ni uongo , kwanza alikuwa anasoma open akaacha alipoteuliwa UDC pia ana mtoto mkubwa tu wa miaka 6 ,

Uongo huyo DC kiufupi ni Mkeka wa wageni na yoyote yule, kiufupi ni gusa twende
Hatari
 
Anajinadi kwamba amezaliwa mwaka 1993 lakini ukimuangalia Umbo lake na sura ni zaidi ya mid 30's....Anaonekana Zoazoa ndio maana kaona ngoja amruhusu mumewe achukue mke mwingine ili yeye aendelee kubanjuliwa na Misisiemu yezanke.
 
Samahani mwandishi, hiv shule za upili maana yake nini? Na kwanini waliamua kuita hivyo etymologically?
 
Back
Top Bottom