GE2025 DC Msando: Hakuna atakayeleta Nyonyonyoo Oktoba 29, halafu tumuangalie tu!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Wakili Albert Msando amewatoa hofu Wafanyabiashara wa Ubungo, Jiji la Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla kuwa tarehe 29 hakuna atakayewasumbua kwa kudai kuwa kuna maandamano badala yake wajiandae kufanya biashara kama kawaida kwani ulinzi na usalama utakuwa wa kutosha.

Aidha Msando ameongeza kuwa hakuna Mtanzania yeyote atakayeandamana kwani anayeongea mtandaoni ni mtu mmoja anamiliki kurasa tofauti tofauti na kwa majina tofauti na lengo lake ni kutaka watu wasipige kura ili apeleke ripoti kwa mabeberu wanaomtuma Jambo ambalo amesema ni mbinu za kizamamani.

Hata hivyo Msando ameeleza kuwa serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia haina nia wala haja ya kuuwa mitaji ya wafanyabiashara wadogo na ndio maana mpaka sasa ndani ya Halmashauri ya Ubungo zaidi ya bilioni 4 wamekopeshwa wananchi kwa ajili ya kukuza mitaji na kuendeleza biashara zao.

Kwanini watu wajinga , Huwa wanafanana hata kimazungumzo.....

Utasikia...Nywi nywi nywiiiii

Nywanyanywaaaaaa

Huyu kaja na Nyonyonyooooo.

Kuna yule Malaya anasema "Mkiandamana nitatembea Uchi ....

Yaan MTU uchi wake anauona sio kitu..

Wakienda sanaaa...Utaona wanapost Nyumba zao au Fedha au wakiwa sehem za starehe 🤣🤣
 
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Wakili Albert Msando amewatoa hofu Wafanyabiashara wa Ubungo, Jiji la Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla kuwa tarehe 29 hakuna atakayewasumbua kwa kudai kuwa kuna maandamano badala yake wajiandae kufanya biashara kama kawaida kwani ulinzi na usalama utakuwa wa kutosha.

Aidha Msando ameongeza kuwa hakuna Mtanzania yeyote atakayeandamana kwani anayeongea mtandaoni ni mtu mmoja anamiliki kurasa tofauti tofauti na kwa majina tofauti na lengo lake ni kutaka watu wasipige kura ili apeleke ripoti kwa mabeberu wanaomtuma Jambo ambalo amesema ni mbinu za kizamamani.

Hata hivyo Msando ameeleza kuwa serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia haina nia wala haja ya kuuwa mitaji ya wafanyabiashara wadogo na ndio maana mpaka sasa ndani ya Halmashauri ya Ubungo zaidi ya bilioni 4 wamekopeshwa wananchi kwa ajili ya kukuza mitaji na kuendeleza biashara zao.

msando ujue uko kwenye ICC list
 
Back
Top Bottom