PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Akizungumza na Wenyeviti wa Mitaa, DC Albert Gasper Msando amewataka viongozi hao kusimamia vizuri makusanyo ili miradi irudi kwao. Huku akisisitiza kuwa wanaojenga bila vibali watachukuliwa hatua, akisema: "Usijenge kipindi hiki cha Uchaguzi bila kibali, ukidhani eti hawafatilii, unajidanganya. Yeyote anayejenga awe na kibali na kama amekiuka masharti tutabomoa, na wala wasisingizie Uchaguzi."