Vibali vya ujenzi nchi hii ni ujinga mtupu.
Kibali kinatolewa manispaa ofisini hata hawajui unajenga wapi zaidi ya kuona hati ya kiwanja na ramani.
Hawapimi udongo, hawaji kukagua jengo, sasa kibali cha nini?
Wangepunguza huu uhuni ili kusaidia wananchi wao.