Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Yes,Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule, Juni 30, 2026, amesema uchunguzi kuhusu vipeperushi vilivyosambazwa wilayani humo unaendelea kwa umakini mkubwa ili kubaini waliohusika.
Haya mambo serikali inayakuza kwa kuwapa nguvu hao wanao chechea vurugu kwa mantiki ya kuyachukulia kwa uzito kwenye vyombo vya habari zaidi kuliko kuyafanyia kazi kimkakati wa siri zaidi kisha kuja na ufumbuzi wa kudumu.Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule, Juni 30, 2026, akihojiwa Kupitia Wasafi FM, amesema uchunguzi kuhusu vipeperushi vilivyosambazwa wilayani humo unaendelea kwa umakini mkubwa ili kubaini waliohusika.
"Mimi ninachotambua, ninachojua ni kwamba uchunguzi seriously unaendelea, kubaini ni akina nani. Na nina imani kwa ueledi mkubwa wa Jeshi letu la Polisi, watapatikana tu. Alafu watatupatia taarifa kwa sababu vipeperushi vile watu wengi wameviona, na jumbe zilizoko pale ni za kuchafua, zenye kuleta vurugu kwenye wilaya yetu ya Kinondoni. Kwa hiyo watakapokamilisha hiyo, watatuambia, na pengine tunaweza tukaja hata hapa na RPC tukazungumza hiyo ni nini hasa ambacho wamebaini na mwelekeo wa kisheria ukoje."
Waacheni watu waandamane kwa amaniMkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule, Juni 30, 2026, akihojiwa Kupitia Wasafi FM, amesema uchunguzi kuhusu vipeperushi vilivyosambazwa wilayani humo unaendelea kwa umakini mkubwa ili kubaini waliohusika.
"Mimi ninachotambua, ninachojua ni kwamba uchunguzi seriously unaendelea, kubaini ni akina nani. Na nina imani kwa ueledi mkubwa wa Jeshi letu la Polisi, watapatikana tu. Alafu watatupatia taarifa kwa sababu vipeperushi vile watu wengi wameviona, na jumbe zilizoko pale ni za kuchafua, zenye kuleta vurugu kwenye wilaya yetu ya Kinondoni. Kwa hiyo watakapokamilisha hiyo, watatuambia, na pengine tunaweza tukaja hata hapa na RPC tukazungumza hiyo ni nini hasa ambacho wamebaini na mwelekeo wa kisheria ukoje."
Wale ambao Mwigulu alisema wamelipwa kufanya maandamano wameshakamatwa.?Yes,
well done,
watakaobainika washughulikiwe ipasavyo kwa mujibu wa sheria na itapendeza zaidi 🐒
Niliwahi kupost hapa kuwa CCM waache kutumia nguvu, kushindana na Gen-Z, hiki ni kizazi cha vijana wenye akili na mipango na wako decentralized watu wanasambaza vipeperushi kama majasusi wa MossadKumbe na vipeperushi vimeanza kusambazwa! Kwani polisi na DC mkiruhusi kufanyika kwa hayo maandamano yafanyike kwa amani na utulivu, mtapungukiwa nini?
watakapobainika,Wale ambao Mwigulu alisema wamelipwa kufanya maandamano wameshakamatwa.?
Niliwahi kupost hapa kuwa CCM waache kutumia nguvu, kushindana na Gen-Z, hiki ni kizazi cha vijana wenye akili na mipango na wako decentralized watu wanasambaza vipeperushi kama majasusi wa Mossad
Haya mambo serikali inayakuza kwa kuwapa nguvu hao wanao chochea vurugu kwa mantiki ya kuyachukulia kwa uzito kwenye vyombo vya habari zaidi kuliko kuyafanyia kazi kimkakati wa siri zaidi kisha kuja na ufumbuzi wa kudumu.
Kama muhalifu unamuona/kumfuatilia yanini kujibizana kwa sauti za juu zaidi ya kuleta matokeo.
Huna akili.watakapobainika,
hatua kali zaidi zitachukuliwa bila huruma wala haya dhidi yao gentleman
muerevu punguza mihemko nonsense na ujikite kwenye hoja kwa kutumia hiyo akili yako kubwa kujikita kwenye hoja bila makasiriko na itapendeza zaidi 🐒Huna akili.