DC mteule ndugu "Mchopanga" alisoma shahada ya kwanza bila kuwa na matokeo ya kidato cha sita licha ya kuisoma kwa miaka mitatu

Cha kufanya

1. Hakikisha na followers wa kutosha insta.

2. Pendelea sifia sifia mwenye mamlaka

3. Jiasosieti na akina Steve nyerere na Wala wabongo mavi [emoji1]

Mengine utachanganya na akili yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
umemaliza mkuu, ivi KOPA GAS mmiliki ni nani Chief
 
Usiseme watu, ukajitoa. Jiweke na wewe. Lkn hoja yangu ni kwamba toeni sababu za msingi. Vinginevyo mnadhalilika tu hapa.

Mwenzenu anashona suti akijiandaa kuapishwa. Huku mnaojiita wasomi mliopitia form 6 Kisha mkaenda vyuo mkitokwa povu midomoni.

Huyo Mchopanga kasoma huko Kenya au AK ?
 
Nani kakwambia mimi nina njaa ?

Mwenye njaa yuko huko anazurula na kutoa toa macho huku akisifia wanaume huko Lumumba kutafuta chochote.

Mimi ni complete free human creature.
ahaah, mtifuano wenu si wa kitoto, nipo hapa kuangalia msije kushikana mashati
 
Ukiona mbongo kaenda kusoma Russia, China, India, Ukraine au Malaysia mara nyingi huwa ni kwenye vyuo ambavyo ni trash kabisa.

Ndio maana wengi huwa wanarudi hawajielewi.
utakuta wengi wao walikosa sifa za kujiunga na vyuo vikuu vyetu, hivyo vya huko India ni sawa na TEKU
 
Uko sahihi kabisa.

Tatizo kwenye hili jambo watu wamejipostion kwa mlolongo wa elimu zao. Yaani wale walioshia form four wakaenda chuo wako royal na upande wao na wale wa form six wako royal na upande wao.
 
Ukiona mbongo kaenda kusoma Russia, China, India, Ukraine au Malaysia mara nyingi huwa ni kwenye vyuo ambavyo ni trash kabisa.

Ndio maana wengi huwa wanarudi hawajielewi.
Mkuu, kwenye nchi nyingi kuna vyuo vizuri na vibaya.

Salim Ahmed Salim na John Malecela walisoma India, wakaenda kufanya jazi za kuheshimika dunia nzima, si Tanzania tu.
 
Samahani Mkuu huyu bwana mbona alimaliza pale Tambaza 2005 na alifanya vizuri tu.


0912​
M​
JUMA ISSA
7​
I​
GENERAL-S HISTORY-A KISWAHI-C ENGLISH-C​
Mkuu haya matokeo umeyapata wapi maana miaka ya 2005 hayakupatikana Online??
 
Mkuu haya matokeo umeyapata wapi maana miaka ya 2005 hayakupatikana Online??
Yapo mkuu ingia hapo maktaba.tetea.org utayapata kuanzia mwaka 2005 na kuendelea jamaa upande wa shule naona alikuwa anajitahidi sana.

Tumpe muda na imani atafanya vyema na vile Rorya bado ni changa tuondoe hofu kwake.
 
Yapo mkuu ingia hapo maktaba.tetea.org utayapata kuanzia mwaka 2005 na kuendelea jamaa upande wa shule naona alikuwa anajitahidi sana.

Tumpe muda na imani atafanya vyema na vile Rorya bado ni changa tuondoe hofu kwake.
Lakini zamani zilikuwa namba tu, ninavyojua ?
 
Ukitaka ajira unaweza kuajliwa bila sifa za vyeti. Ukitaka masomo kuna sifa za chini zinazohitajika. acha mifano isiyoendana na kinachojadiliwa, hizo ni bhla! bhla! Kama unafuta mfumo wa TZ lazima ufuate hatuia za masomo zilizopo. Huwezi kuingia digrii , ukitokea form 4. Form 4 yetu inajulikana ubora na udhaifu wake. Ukitaka mfumo wa Kenya ni tofauti na wetu. Tusidanganyane!
 
Hahaaa teuzi za hovyo zilianza na mwendazake yaani yeye ulikua ukimsifia tu , au ukipiga mpinzani mmoja kwake yeye ni bonge la ishu unakua umemkoooosha kwelikweli, limtu kama bashite lilikua RC stupiod kabisa, mengine aliyateua kisa yanajua kukata mauno tu ne mengine " TENA NI MWEHUPE"
 
Utaratibu wa udahili vyuo vya nje ni tofauti na wa kwetu. Huenda walimchukua kwa sifa za.form four. Siyo lazima upite kidato cha sita ndipo uingie chuo kikuu. Hata hapa Tanzania kuna watu wamesoma, wanasoma na kumaliza chuo kikuu bila kupitia kidato cha sita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…