DC mteule ndugu "Mchopanga" alisoma shahada ya kwanza bila kuwa na matokeo ya kidato cha sita licha ya kuisoma kwa miaka mitatu

Mimi niliwahi fanya kazi nikiwa mwaka wa pili chuo Kikuu na Nilimpata ajira rasmi bila hata matokeo ya mwaka wa pili. Watu wanaangalia uwezo wa Mtu sio cheti.
Utaratibu wa kudaiana vyeti umetamalaki sana Tanzania na Africa kwa ujumla. Mimi nimeshawahi kuajiriwa na mashirika ya kimataifa nje ya Nchi ambayo hawakuwahi kunidai copies za vyeti ingawa nilipitishwa kwenye 3 rigorous interview processes.

Sina uhakika kama walifanya "due diligent" kuverify kama vile vyuo nilivyotaja kwenye CV nilipita na kuhitumu hapo kweli lakini itoshe kusema tu kwamba reference check yao iligusa maeneo niliyofanya kazi kabla na sio niliposema nimesoma.

Kibongobongo forgery za kutosha sana na ni sawa tu kucross-check elimu za baadhi ya hawa mabwana na mabibi wanaoteuliwa kutoka kusikojulikana kwenda kuongoza ofisi za Umma.
 
Kenya wanatumia system ya 8 primary -4 secondary -4 chuo kikuu jumla ni miaka 16.
Tanzania 7 primary -4 o'level -2 Advance level -3 chuo kikuu jumla ni 16.

Ya Mwandosya ni kweli alisoma DIT , lakini ndio ulikuwa mfumo wa wakati huo na hata Prof Luhanga alisoma hapo DIT na Prof Mwandosya licha ya kuwa ndio mfumo ulivyokuwa pia alikuwa Genius ,
 
U-DC sio taaluma na kama ilivyo kwa wabunge, kujua kusoma na kuandika ni vigezo tosha kwa mujibu wa Yohanna mwenda zake!
 
Ukiona mbongo kaenda kusoma Russia, China, India, Ukraine au Malaysia mara nyingi huwa ni kwenye vyuo ambavyo ni trash kabisa.

Ndio maana wengi huwa wanarudi hawajielewi.
Kuna point kubwa sana hapa, nina ushahidi wa watu zaidi ya sita katika hilo. Pia wengi wanakuwaga na matokeo ya kawaida sana.
Ukiona mbongo kaenda kusoma Russia, China, India, Ukraine au Malaysia mara nyingi huwa ni kwenye vyuo ambavyo ni trash kabisa.

Ndio maana wengi huwa wanarudi hawajielewi.
 
Nimekuandalia ati ameenda kufanya ziara kwenye shule amevaa rafu sana shati haifungi vifungo Hadi shingoni labaa tai imelegea kama yupo bar.

Nimemuangalia nikabaki kujisemea Hawa ndio vetting process ilifanyika? Halafu anaagiza walimu wahakikishe miti iliyopo shuleni haikatwi, that's all katumia mafuta ya serikali kwenda kuwaambia walimu ujinga mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…