Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amegawa mahitaji ya mapishi kwa vitendo kwa ajili siku ya Afya na Lishe ya kijiji, hayo ameyafanya Novemba 22, 2024 alipokua katika kikao cha tathimini ya mkataba wa Lishe robo ya kwanza kwa mwaka wa fedha 2024/2025.
Mahitaji hayo ni sukari, maziwa na unga ulioongezwa virutubishi ambavyo vimetolewa kwa watendaji wa kata wa kata zote 36 za Wilaya ya Nachingwea kwa ajili ya kupeleka katika vijiji, siku ya afya na lishe (SALIKI) hufanyika katika kila robo mara moja.