GE2025 DC Nyasa aanza kampeni mapema amnadi Mgombea Ubunge, kata kwa kata

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DodomaTZ

Senior Member
Joined
May 20, 2022
Posts
197
Reaction score
233
Your browser is not able to display this video.
Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Peres Magiri akizungumza na Wajumbe na baadhi ya WanaCCM kuhusu mchakato wa Ubunge katika Jimbo la Nyasa Mkoani Ruvuma.

Amesema walipokea takribani majina ya Watia nia 20 na akiwemo Eng. Stella Manyanya, John Nchimbi, Gerad Komba (Mtoto wa marehemu Captain Komba)…

Hapa akiwaambia nani ambaye anafaa zaidi katika kinyang’anyiro hicho kwa kumtaja kuwa sasa ni muda wa John John Nchimbi na kuwaambia wasitishwe na mtu yeyote na kwamba yeye ameamua kujivisha mabomu.
 
😅😅😅😅 Siasa za ukoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…