DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

Huyo atakuwa na yake pembeni. Jamaa kama mjanja ajiulize mara mbilimbili kuhusu hiyo post. Pia afanye uchunguzi.
 
Kuuumbeee
 
Ataiona pepo mwanamke anamyemkaribisha mwanamke mwenzake kuolewa na mume wake na kuishi naye katika wema.
Exactly.

Ila pia kwenye sababu yake aliyoitoa ili mume aongeza mwenza ni kutokana na majukumu yake, nadhani asingebanwa na majukumu asingefanya uamuzi wa kutaka mume aongeze mke.

KIla la kheri kwake!
 
Mwanaume kukuolea, akuolee ushaish naye zaidi hata ya miaka kumi yaani hata akikuolewa ule wivu hunaa sio wakivile mshazoeana Sana sio akuolee ndoa hata mwaka bado hii Hapana.
Kweli kabisa asitudanganye hapa binti mwenyewe mdogo wa 93 eti unafurahia ukewenza
 
Miss natafuta njoo uwe mke mdogo ntakupenda mpk ushangae chibeb

Mzigua una chokochoko hata usijilete

Mama cha mdeko utanisumbua na utoto wako bwana akikupiga bao 5 utakuja kuniringishia demiss sikutaki tusalimiane humuhumu tu
Kivyovyote ndoa ya miaka 10 au zaidi mume akisema anaoa kwangu ruksa aoe, cha peke yangu kipo mapajani kwangu tu kushare tunashare sana tu iwe kisiri au sio kisiri wacha tupandane tu
 
Wapo wengine wanafanya hivyo kwa sababu nyengine tofauti na hiyo......
Uhuru .....
 
Babu yako nae alikua muhuni. Kwanini awaoe wengi hivyo halafu awaache.
 
Mtu atajibu anaweza ila kiuhalisia hakuna anayependa, unajua kabisa mume wangu leo yupo sehemu ananjunju mimi ningeleta visa kila siku.
Mimi nakwambia ile siku najua anaenda kwa bimdogo ningekua naumwa hadi yeye mwenyewe ataogopa kuondoka. Au la nampa mchezo usiku kucha akifika kwa mke mwenza hata kumshika chuchu hawezi kwa jinsi alivyochoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…