Trust me. hapo mchepuko tena wa higher level in politics unahusika kushawishi kuoa mke wa pili ilimheshimiwa wa wilaya apate upenyo
Kamjaalia nini, mbona mbayaMKUU KUOA DEMU KISU HALAFU NI DC/RC/MBUNGE VITI MAALUM INAHTAJ UVUMILIVU MKUU.. YULE DC MUNGU KAMJALIA HALAFU KAPEWA NA CHEO.. NI BALAA SHEIKH LAZMA UTAFUTE MKE WA PILI ILI UKIDHI HAJA.
UmeonaaaChakula ya wakubwa hiyo
Meneja ye aoe mwingine
Sio wa kwanza kufanya hivyoSasa huo si ushujaa jamani
Surprise loveHata mie shoga siyawezi hayo. Ya nini kubanana. Akaaaaaa.
Wacha tu wale wenye kuyaweza wayafanye kama hivyo.
We mdada thatsit hata kunishutua kama utaingia humu. Lol.
Kimsingi hata kwake huyo naamini anawezakuwa mume wa pili....Ukiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani.
View attachment 699033
View attachment 699031
Na nyie wengine mloolewa fanyeni kama Zainab mtupunguze tusio na ndoa mtaani.
Haya ni mawazo yako, na ni maoni yako!! Nakusihi tu uachanane na fikra hizo, lisilowezekana kwako haimaanishi haliwezekani kwa wengine, kumbuka hilo suala ni la kiibada, mambo ya kiimani ni magumu sana kutafsirika..!!!Kimsingi hata kwake huyo naamini anawezakuwa mume wa pili....
[HASHTAG]#BasiSawa[/HASHTAG]......Haya ni mawazo yako, na ni maoni yako!! Nakusihi tu uachanane na fikra hizo, lisilowezekana kwako haimaanishi haliwezekani kwa wengine, kumbuka hilo suala ni la kiibada, mambo ya kiimani ni magumu sana kutafsirika..!!!
Huyu Mh DC atakuwa ameanza kudukulwa na wadukuzi wasiofahamika ndio maana haimpi stress.Ukiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani.
View attachment 699033
View attachment 699031
Na nyie wengine mloolewa fanyeni kama Zainab mtupunguze tusio na ndoa mtaani.
Wengi huwa wanavunja wenyewe ila hii Zainab ni mhanga. Van hafai kwa mchuz wala kulumangia.Huyu Mh DC atakuwa ameanza kudukulwa na wadukuzi wasiofahamika ndio maana haimpi stress.
Nadra sana wanawake Viongozi kudumu kwenye ndoa.