DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

Kwangu mimi siamini amefanya hivyo kwa sababu eti ana imani saana ya dini yake
Mh Zainab,angefanya jambo la maana sana kama angeamua kuacha kazi ili akamuhudumie mume,na dini ndio inataka hivyo,mume kwanza
Mh Zainab ameonesha tu ubinafisi na uchu wa madaraka kama wanawake wengi walivyo,kaona kuja Dar es kila wiki atatumbuliwa kaamua kutumia mgongo wa dini kumsukumia mbali mume kwa mke mwingine,ili yeye atakapojisikia au kuwa na nafasi ndio awe na mume
Huu ni unyanyasaji wa kijinsia kulazimisha mume aoe bila ya kupanga,kwa nini alivyoletewaa barua ya posa usingemwambia akaoe kwingine?
Mwanamke wa kiafrika akiwa na cheo ni matatizo sana
 
Ukiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani.

View attachment 699033

View attachment 699031

Na nyie wengine mloolewa fanyeni kama Zainab mtupunguze tusio na ndoa mtaani.
Kimsingi hata kwake huyo naamini anawezakuwa mume wa pili....
 
Haya ni mawazo yako, na ni maoni yako!! Nakusihi tu uachanane na fikra hizo, lisilowezekana kwako haimaanishi haliwezekani kwa wengine, kumbuka hilo suala ni la kiibada, mambo ya kiimani ni magumu sana kutafsirika..!!!
 
[HASHTAG]#BasiSawa[/HASHTAG]......
 
Ukiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani.

View attachment 699033

View attachment 699031

Na nyie wengine mloolewa fanyeni kama Zainab mtupunguze tusio na ndoa mtaani.
Huyu Mh DC atakuwa ameanza kudukulwa na wadukuzi wasiofahamika ndio maana haimpi stress.

Nadra sana wanawake Viongozi kudumu kwenye ndoa.
 
Wengi huwa wanavunja wenyewe ila hii Zainab ni mhanga. Van hafai kwa mchuz wala kulumangia.
 
Back
Top Bottom