DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

Labda kama DC alikua hajui kama Salma ni mdangaji hapo mjini.
Alimtafute file lake akajua nasikia akawa anamtukana insta. Hadi file la Salma kuwa mwanamke wa Narita analo nasikia
 
Atazaa kweli huwa namuona kama mwanaume maana sijawahi muona akivaa sketi au gauni, au anakaa tu hata kaa azae mh nina mashaka ebu tuone

Gauni na sketi anavaa sana sema akivaa hua hapigi picha za insta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alimtafute file lake akajua nasikia akawa anamtukana insta. Hadi file la Salma kuwa mwanamke wa Narita analo nasikia

Sasa kwa uchafu wa Salma leo anapata wapi ujasiri wakujitia ameridhia mume wake kuongeza mke.
 
Sasa kwa uchafu wa Salma leo anapata wapi ujasiri wakujitia ameridhia mume wake kuongeza mke.
Alishindwa kupambana mume asimuoe akaamua amuunge mkono tu. Inaonekana mume anampenda sana Salma. Maana unaambiwa Zai kapambana sana hiyo ndo ife ila ndo vile Salma nae Mungu wake anatenda bado alitaka kuonyesha watu hata blender inaweza faa kwa matumizi mengine.
 
Kwa hiyo na yeye huko mbali aliko na majukumu yake inakuwa aje? Mumewe atamtafutia msaidizi?
 
Nilichoka kusikia eti jimama lote hili January ndo limefikisha 25[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wabongo ni mabingwa wa kurudisha umri nyuma
Ni kweli bhana ana umri mdogo ndio DC mdogo tanzania nzima mm nimesoma AZANIA namjua uyu ABDUL alikua waziri mkuu enzi nasoma pale miaka ya 2010-2013 na huyu bi dada alikua mwanafunzi wa jangwan alikua anapenda sana kusoma poems za kutetea wanawakena alikua kiongoz jangwan. So wamechukuana wote hao wadogo tuuu. Sema fursa zimewakubali daaaaah acha tuu
 
elim dunya ya madrasa hii.

ndiyo maana hata sheria za nchi tumeweka mke mmoja kwa wakristo ma wake mpaka wanne kwa waislamu na hamna mgogoro isipokua tu wewe unapenda ukristo ila sheria zao huzipendi
 
Ana akili sana. Kuliko kumuacha mume na housegirl tena wa kubadili kila wakati ni bora kuwa na housegirl official wa kudumu. DC akirudi chakula kipo na Nyumba ni safi. Akili kubwa hiyo.
 
Ana akili sana. Kuliko kumuacha mume na housegirl tena wa kubadili kila wakati ni bora kuwa na housegirl official wa kudumu. DC akirudi chakula kipo na Nyumba ni safi. Akili kubwa hiyo.
House girl ndio nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…