thatonegAl
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 825
- 1,884
Hamna ambae hataolewa mji huu
Kwa kweli.....
No wonder safari za Uturuki hazikauki kwa Salma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna ambae hataolewa mji huu
Atazaa kweli huwa namuona kama mwanaume maana sijawahi muona akivaa sketi au gauni, au anakaa tu hata kaa azae mh nina mashaka ebu tuone
Alimtafute file lake akajua nasikia akawa anamtukana insta. Hadi file la Salma kuwa mwanamke wa Narita analo nasikia
Alishindwa kupambana mume asimuoe akaamua amuunge mkono tu. Inaonekana mume anampenda sana Salma. Maana unaambiwa Zai kapambana sana hiyo ndo ife ila ndo vile Salma nae Mungu wake anatenda bado alitaka kuonyesha watu hata blender inaweza faa kwa matumizi mengine.Sasa kwa uchafu wa Salma leo anapata wapi ujasiri wakujitia ameridhia mume wake kuongeza mke.
Kwann hafai ?Wengi huwa wanavunja wenyewe ila hii Zainab ni mhanga. Van hafai kwa mchuz wala kulumangia.
Daah, huyo jamaa ni shetani kumbe !!!!Miezi sita ndoa 3.
Tena mmoja unambadili na dini na mimba inafika six month unamwambia atoe. Mtu wa hivyo anafaa kweli?
Si bwana ajitia muislam safi itakua alimwambia bibie aanze kuvaa kama binti wa kiislamu
Tupe mrejesho.Ngoja nimuoneshe wife alafu nimsikilize atatoa comment gani
Thubutu! !Kwa hiyo na yeye huko mbali aliko na majukumu yake inakuwa aje? Mumewe atamtafutia msaidizi?
Ni kweli bhana ana umri mdogo ndio DC mdogo tanzania nzima mm nimesoma AZANIA namjua uyu ABDUL alikua waziri mkuu enzi nasoma pale miaka ya 2010-2013 na huyu bi dada alikua mwanafunzi wa jangwan alikua anapenda sana kusoma poems za kutetea wanawakena alikua kiongoz jangwan. So wamechukuana wote hao wadogo tuuu. Sema fursa zimewakubali daaaaah acha tuuNilichoka kusikia eti jimama lote hili January ndo limefikisha 25[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wabongo ni mabingwa wa kurudisha umri nyuma
elim dunya ya madrasa hii.Nioneshe ni wapi kwenye Agano jipya imeandikwa hakuna ruhusa kuao mke zaidi ya mmoja. Usiniambie kuhusu 1 TIMOTHEO 3:2, 1 TIMOTHEO 3:12, TITO 1:6 sababu hivi vifungu vinazungumzia kuhusu "Maaskofu na Mashemasi" na siyo waumini wote.
Sasa wewe nioneshe ni wapi imeandikwa Mkristo na asiwe na mke zaidi ya mmoja. Halafu acha kumsingizia YESU uwongo, hakuja kuifuta Torati wala kuibadilisha. Tena alisema hivi; "Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua Torati au manabii; la sikuja kutangua bali kutimiliza. Kwa maana amini nawaambia, mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka yodi moja, wala nukta moja ya Torati haitaondoka hata yote yatimie". MATHAYO 5:17-19
Kwa taarifa yako Torati itaendelea kutumika mpaka siku ya mwisho atakaporudi MESSIAH. Kuna baadhi tu za "sheria" zilizorekebishwa na MESSIAH, lakini zingine zote ziko pale pale.
House girl ndio nani?Ana akili sana. Kuliko kumuacha mume na housegirl tena wa kubadili kila wakati ni bora kuwa na housegirl official wa kudumu. DC akirudi chakula kipo na Nyumba ni safi. Akili kubwa hiyo.
Na wewe mko wawili mama?