DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

Mmmh ukipewa hiyo ruhusa na mkeo inabidi kabla ujatekeleza ujifikilie sana pengne yeye alishakuongezea mwenzio muda mrf.
 
Home Mahusiano Eritrea Imetoa Sheria Mpya: Oa Wake Wawili au Nenda Jela.
MAHUSIANOTRENDING
ERITREA IMETOA SHERIA MPYA: OA WAKE WAWILI AU NENDA JELA.
written by Admin January 26, 2016

Wanaume nchini Eritrea, wameagizwa na serikali kuoa mke zaidi ya mmoja, la sivyo unajiweka kwenye hatari ya kwenda jela.
Serikali pia imeahidi kusaidia gharama za harusi pamoja na nyumba. Sheria hii imekuja kutokana na uhaba wa wanaume nchini humo uliotokana na vita kati ya Eritrea na Ethiopia ambapo zaidi ya wanajeshi 150,000 waliuwawa.
Sheria hii haiwahusu wanaume peke yao, mwanamke atakaye kataa mume wake asioe mwanamke wa pili anaadhibiwa kwa kifungo cha maisha jela.
Jina la Eritrea linamaanisha “Red Sea” kwa Kigiriki.

Zifuatazo ni baadhi ya picha za wasichana wa Eritrea.


Eritrea Imetoa Sheria Mpya: Oa Wake Wawili au Nenda Jela. - Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
 
I love this country "Eritrea"!
 
Yesu hakuitengua torat, alkuja kuikamilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…