Home Mahusiano Eritrea Imetoa Sheria Mpya: Oa Wake Wawili au Nenda Jela.
MAHUSIANOTRENDING
ERITREA IMETOA SHERIA MPYA: OA WAKE WAWILI AU NENDA JELA.
written by
Admin January 26, 2016
Wanaume nchini Eritrea, wameagizwa na serikali kuoa mke zaidi ya mmoja, la sivyo unajiweka kwenye hatari ya kwenda jela.
Serikali pia imeahidi kusaidia gharama za harusi pamoja na nyumba. Sheria hii imekuja kutokana na uhaba wa wanaume nchini humo uliotokana na vita kati ya Eritrea na Ethiopia ambapo zaidi ya wanajeshi 150,000 waliuwawa.
Sheria hii haiwahusu wanaume peke yao, mwanamke atakaye kataa mume wake asioe mwanamke wa pili anaadhibiwa kwa kifungo cha maisha jela.
Jina la Eritrea linamaanisha “Red Sea” kwa Kigiriki.
Zifuatazo ni baadhi ya picha za wasichana wa Eritrea.
View attachment 717766 View attachment 717767 View attachment 717768 View attachment 717769 View attachment 717770
Eritrea Imetoa Sheria Mpya: Oa Wake Wawili au Nenda Jela. - Habari | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania