DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

Ukiwa busy majukum yako unatimiza saa ngapi? Au ndio mnataka tuishi kwa shida kwa kuwafurahisha ninyi?
Nimeshangaa sn mwanaume hawezi kukuelewa kama upo busy basi ni bora tutengane kuliko kuniletea mtu wa pili
 
Majukumu gani? Mwanamke gani anaezidiwa na majukumu hadi ashindwe kumtunza mumewe? Huo udc ndo umfanye ashindwe kutekeleza majukumu ya mke? Akiwa waziri itakuaje sasa?
Majukumu hayo ya kushindwa kumhudumia mume hayapo kama mke kweli anampenda mumewe! Mwanamke atafanya wema kwa kiwango cha juu sana kwako ikiwa bado ana hisia kali za kimapenzi na wewe!

Ikatokea ameanza kukuchoka basi huwa hajisumbui kukufanyia uspesho wowote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…