DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

Majukumu gani? Mwanamke gani anaezidiwa na majukumu hadi ashindwe kumtunza mumewe? Huo udc ndo umfanye ashindwe kutekeleza majukumu ya mke? Akiwa waziri itakuaje sasa?
Majukumu hayo ya kushindwa kumhudumia mume hayapo kama mke kweli anampenda mumewe! Mwanamke atafanya wema kwa kiwango cha juu sana kwako ikiwa bado ana hisia kali za kimapenzi na wewe!

Ikatokea ameanza kukuchoka basi huwa hajisumbui kukufanyia uspesho wowote!
 
Huyu DC si haba kajazia kama Mzigua90
cfa9de7065724582b13072c00fc6e430.jpg
Hapo mimaji imezidi unga! Hamna starehe acha jamaa aoe pengine! Midemu mingine sio mitamu kabisa 😂
 
Back
Top Bottom