Huyo demu kwa parameters za mwanamke mtamu hayupo kabisa yani๐ kwa kumtazama tu! Ukijumlisha na huo ubize wake alaah...Atabakia kizembe kama Joketi tu! Zuri ila sio tamuu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba ni mtamu kwa kumuangalia tu
Sema jamaa yake inaonekana ni hohe hae wa kiuchumi! Ukioa mke powerful sana nayo ni hatari!Kwanza kajamaa kalishauriwa kaoe mke wa pili kweli kakaoa baadae kibao kikageuka bana kaa na familia yako mimi niache then waziri kavuta kaweka ndani jumla
Sema jamaa yake inaonekana ni hohe hae wa kiuchumi! Ukioa mke powerful sana nayo ni hatari!
Wanawake ambao wako so ambitious ni balaa kuwaoa! Unless uwe nawewe uko vizuri sana ndio mtakaa vizuri
Sema jamaa yake inaonekana ni hohe hae wa kiuchumi! Ukioa mke powerful sana nayo ni hatari!
Wanawake ambao wako so ambitious ni balaa kuwaoa! Unless uwe nawewe uko vizuri sana ndio mtakaa vizuri
Bora shemeji Kwa waziri kuna faida ya kiuchumiView attachment 1991114
Hapo anaitwa shemeji na waziri kule angekua shemeji wa akina mpoki, Baba levo, kitenge, zembwela kipi bora hapo
Ukiwa busy majukum yako unatimiza saa ngapi? Au ndio mnataka tuishi kwa shida kwa kuwafurahisha ninyi?
Hahahahah mke atakuja tu hata ukiwa mkristo sema hutajua ila atakuwepo!Kwa hiyo na nyie mkiwa busy na sisi tuchepuke??
Binafsi mke wa pili hatii mguu kwenye ndoa yangu hata ningekua Islamic, nitamuachia amlete nitatoka mimi.
Huyu Zai naye hana mtu kweli, kipoozeo? tuweni seriosUkiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani.
View attachment 699033
View attachment 699031
Na nyie wengine mloolewa fanyeni kama Zainab mtupunguze tusio na ndoa mtaani.
Hahahahah mke atakuja tu hata ukiwa mkristo sema hutajua ila atakuwepo!
Kutuvumilia mnatuvumilia kwenye mengine sio mambo ya pwani yale! Pale hapana excuse mashine ikiwasha lazma ipate tiba immediately๐[emoji3][emoji3][emoji3]Labda nisijue na nisihisi, afanye juu chini nisihisi chochote.
Kama wake zenu tunawavumilia na nyie mtuvumilie hakuna mwanamke asiependa ndoa yake labda uwe umemuokota huko na kichwa chake hakipo sawa
Mkuu wa wilaya ni powerful?Sema jamaa yake inaonekana ni hohe hae wa kiuchumi! Ukioa mke powerful sana nayo ni hatari!
Wanawake ambao wako so ambitious ni balaa kuwaoa! Unless uwe nawewe uko vizuri sana ndio mtakaa vizuri
Mmewe wa kwanza ndo mkurungezi wa mawasiliano ya Rais Zanzibar.View attachment 1991114
Hapo anaitwa shemeji na waziri kule angekua shemeji wa akina mpoki, Baba levo, kitenge, zembwela kipi bora hapo
Ni mwanaume ambaye ana access na mwanamke yeyote amtakae!Mkuu wa wilaya ni powerful?
๐๐๐๐๐Huyu mwanamke alichomfanyia jamaa Mungu anamuona akamshauri mwenzie aoe ili yeye aendelee kua na mchepuko wake jumaa aweso ili baadae waoane kabisa jumla jumla
Jamaa yake hajawahi kuwa hohehae, alikuwa mtendaji wa Azam FC na sasa ni Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu ya Zanzibar.Sema jamaa yake inaonekana ni hohe hae wa kiuchumi! Ukioa mke powerful sana nayo ni hatari!
Wanawake ambao wako so ambitious ni balaa kuwaoa! Unless uwe nawewe uko vizuri sana ndio mtakaa vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake wajanja wajanja Sana alimuambia mumewe aoe ili yeye aachane nae
Aweso jumaa Mungu anakuona mh waziri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mwanamke alichomfanyia jamaa Mungu anamuona akamshauri mwenzie aoe ili yeye aendelee kua na mchepuko wake jumaa aweso ili baadae waoane kabisa jumla jumla
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo demu kwa parameters za mwanamke mtamu hayupo kabisa yani[emoji23] kwa kumtazama tu! Ukijumlisha na huo ubize wake alaah...Atabakia kizembe kama Joketi tu! Zuri ila sio tamuu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie lolView attachment 1991114
Hapo anaitwa shemeji na waziri kule angekua shemeji wa akina mpoki, Baba levo, kitenge, zembwela kipi bora hapo