DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

Kwanza kajamaa kalishauriwa kaoe mke wa pili kweli kakaoa baadae kibao kikageuka bana kaa na familia yako mimi niache then waziri kavuta kaweka ndani jumla
Sema jamaa yake inaonekana ni hohe hae wa kiuchumi! Ukioa mke powerful sana nayo ni hatari!

Wanawake ambao wako so ambitious ni balaa kuwaoa! Unless uwe nawewe uko vizuri sana ndio mtakaa vizuri
 
Sema jamaa yake inaonekana ni hohe hae wa kiuchumi! Ukioa mke powerful sana nayo ni hatari!

Wanawake ambao wako so ambitious ni balaa kuwaoa! Unless uwe nawewe uko vizuri sana ndio mtakaa vizuri

Wanawake wana akili kubwa kuliko wanaume yaani jamaa alipigwa counter attack ya hatari
 
Sema jamaa yake inaonekana ni hohe hae wa kiuchumi! Ukioa mke powerful sana nayo ni hatari!

Wanawake ambao wako so ambitious ni balaa kuwaoa! Unless uwe nawewe uko vizuri sana ndio mtakaa vizuri

IMG_8285.jpg

Hapo anaitwa shemeji na waziri kule angekua shemeji wa akina mpoki, Baba levo, kitenge, zembwela kipi bora hapo
 
Kwa hiyo na nyie mkiwa busy na sisi tuchepuke??

Binafsi mke wa pili hatii mguu kwenye ndoa yangu hata ningekua Islamic, nitamuachia amlete nitatoka mimi.
Hahahahah mke atakuja tu hata ukiwa mkristo sema hutajua ila atakuwepo!
 
Ukiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani.

View attachment 699033

View attachment 699031

Na nyie wengine mloolewa fanyeni kama Zainab mtupunguze tusio na ndoa mtaani.
Huyu Zai naye hana mtu kweli, kipoozeo? tuweni serios
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Labda nisijue na nisihisi, afanye juu chini nisihisi chochote.

Kama wake zenu tunawavumilia na nyie mtuvumilie hakuna mwanamke asiependa ndoa yake labda uwe umemuokota huko na kichwa chake hakipo sawa
Kutuvumilia mnatuvumilia kwenye mengine sio mambo ya pwani yale! Pale hapana excuse mashine ikiwasha lazma ipate tiba immediately😂
 
Huyu mwanamke alichomfanyia jamaa Mungu anamuona akamshauri mwenzie aoe ili yeye aendelee kua na mchepuko wake jumaa aweso ili baadae waoane kabisa jumla jumla
😂😂😂😂😂
 
Sema jamaa yake inaonekana ni hohe hae wa kiuchumi! Ukioa mke powerful sana nayo ni hatari!

Wanawake ambao wako so ambitious ni balaa kuwaoa! Unless uwe nawewe uko vizuri sana ndio mtakaa vizuri
Jamaa yake hajawahi kuwa hohehae, alikuwa mtendaji wa Azam FC na sasa ni Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu ya Zanzibar.
 
Huyu mwanamke alichomfanyia jamaa Mungu anamuona akamshauri mwenzie aoe ili yeye aendelee kua na mchepuko wake jumaa aweso ili baadae waoane kabisa jumla jumla
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom