DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

Hawawezi kukaa kwa amani. Labda mume akawaroge awafanye mazezeta.
Wanakaaga kwa amani sana ila wanaume hawapendi ndo wanaletaga chokochoko, babu yangu alioa watatu wote walikua mashost japo mmoja alikua mji tofauti lakin hata akija unaweza kusema ni ndugu. Alichofanya akawaacha wote watatu na wakaendeleza udugu ye kafa hana hata mke wa kumuuguza..
 
Back
Top Bottom