[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani nimepanick ghaflahaa haaa haaaa haaaaaa.
yaonyesha bidada hili swala hutak hata kuliskia.
nataman nkuone jinsi ulivyo na hamaki ktika jambo hili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani nimepanick ghafla
Kizuri sio dushe wewe.
Nijambo gumu sana,kwa akili ya kawaida haki huwezKwanza ukiwaza tu unamvyomenda. Halafu akampe mtu mwingine upendo wako.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Thubutuuu. Aliumiua hatari kujua bwana anaoa. Siku ya ndoa nahisi alijifungua ndani analia tu
Wanakaaga kwa amani sana ila wanaume hawapendi ndo wanaletaga chokochoko, babu yangu alioa watatu wote walikua mashost japo mmoja alikua mji tofauti lakin hata akija unaweza kusema ni ndugu. Alichofanya akawaacha wote watatu na wakaendeleza udugu ye kafa hana hata mke wa kumuuguza..Hawawezi kukaa kwa amani. Labda mume akawaroge awafanye mazezeta.